The Stig
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,113
- 1,105
Barabara ikijengwa itajengwa Tanzania, itakatiza kwenye mbuga ya Tanzania, na itatumiwa na asilimia kubwa ya Watanzania...
Kwanini wanausemea moyo wetu? Pambaf Kenyans na donors waliofilisika...
Hakika nakuambia. Kuharibu Serengeti kwa sababu tu ya kuwakomoa waKenya ni sawa na kunyea kambi.
Ninapata wasiwasi kuwa wachangiaji wengi wanaoshabikia hii barabara hawana uelewa wa Serengeti ni kitu gani. Labda wanaiona kama ni sehemu tu yenye wanyama hatari wanaozuia mtu kukatiza kwa mguu kwenda kutafuta bia
Sasa angalia. Mungu katupa hiki kitu adimu lakini tunataka kukiharibu kwa udhi na uvumba.