Manyi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 3,253
- 604
Serengeti ni among World Natural Wonders mzee,au hajawahi fika maana sisi wabongo utalii wetu ni Baa baada ya kazi!!!
Mkuu, ondo shaka, huko sisi wengine ndo kwetu,k wa hiyo kila trip ya nyumbani tunapita mbugani na kufanya utalii mkuu!
Pili, revisit source zako, Serengeti haijawahi kuwa natural wonders, Serengeti ni one of the World Heritage Sites as recognized by UNESCO!!!. Piga hii link upate uelewa zaidi mkuu, List of World Heritage Sites in Africa - Wikipedia, the free encyclopedia