Kikwete fails to convince Canadian media on Serengeti Highway plans

I am sick and tired of this Serengeti Highway saga. The TZ governments says they wont build it in one fora, and that they will in another.

The trans-Serengeti road does no good for TZ or the World's heritage. Tuache Uswahili. We only have one Srengeti in the world. We should not spoil it by running a stupid road across it. The southern route is way much more sensible. It will reach more people and it will protect Serengeti - kuna shida gani kulielewa hilo?
'Stupid road' a shame comment! In defence of humanity this road must be built at any cost to pave way for the maasai development. For a long time these indeginous people have been denied access to modernity and left to be 'tourist attraction' idols! with the needed infrastructure in place these people will have the benefits that other citizen enjoys albeit inadequately! Saa ya Ukombozi ni Sasa.
 
Kumbe habari yenyewe imetoka Wolfgang Blog?, huyo Blogger si ndiye admin wa Facebook Page ya Stop The Serengeti Highway, anaongoza kikundi cha watani zetu kufanya kampeni chafu muda mrefu dhidi ya Conservation Tanzania, hata ile story ya moto wa Serengeti waliitunga wakafanikiwa kuitoa magazeti ya Nation.

Wapotezeeni, opportunist hao!
 
Juzi nimeona mtihani wa somo la uraia darasa la saba.
Swali lilikuwa hivi:
7.Taja sabu tatu za kwa nini Tanzania ni nchi maskini.

Kwa kweli nilimkumbuka sana prezidaa wetu maana kumbe na yeye hasingechaguliwa kuanza form one shule za kata coz ange- fail
 
kwa nini asiende Israel, kwenye technology za gali ya juu kupita china?
Israel wanamsubiri rais wa Tanzania ajae (lowassa) ili wapange nae mikakati zaidi, serikali ya JK ina uhusiano mkubwa na Iran haiaminiki na ndio maana wametuweka mikononi mwa kenya (hapa ni kama kenya ndio mzazi tuliowekewa atulinde, jiulize kwanini balozi kibao hazitoi Visa hapa bali ni lazima twende kenya?)
 
Tanzania ni nchi huru inayojiamulia mambo yake ya ndani bila kuingiliwa na kinyago yeyote! Serikali siyo wapumbavu kuona umuhimu wa kujenga barabara kupitia Serengeti maana na wala si kitu cha ajabu barabara kupita kwenye mbuga za wanyama maana hata Mikumi kuna barabara ya lami! Kabla ya mradi wowote kufanyika lazima tathmini ya athari ya kimazingira (EIA) ifanyike ambayo pia inatoa mitigation measures kwa kila anticipated impact, so sikweli kwamba Tanzania haijafikiria hilo kwenye project plan ya serengeti highway!
Yaani hawa nyang'au hawana point kabisa eti kwamba tunataka kuwazuia nyumbu wasiende kenya kwani nani kasema kitendo cha nyumbu kwenda Kenya kinainyima mapato ya utalii Tanzania? Wao wamefanya miradi mingapi kwenye mbuga za wanyama kwa upande wao ikiwemo kujenga kiwanja cha ndege mbona sisi hatuwaingilii? Watutolee upuuzi wao hapa!
 
I am sick and tired of this Serengeti Highway saga. The TZ governments says they wont build it in one fora, and that they will in another.

The trans-Serengeti road does no good for TZ or the World's heritage. Tuache Uswahili. We only have one Srengeti in the world. We should not spoil it by running a stupid road across it. The southern route is way much more sensible. It will reach more people and it will protect Serengeti - kuna shida gani kulielewa hilo?

Tatizo ni moja tuu, hilo liko kwenye ilani ya ccm. Otherwise no justification whatsoever to spoil the world heritage thru this ill conceived project
 
Mimi naomba mnieleze Umuhimu wa barabara ya lami kupitia Serengeti, ikiwa hawa walioendelea na mnazungumzia maendeleo hawana barabara zinazopita katikati ya National park zao japokuwa Uchwara?..
 
Hizo ndizo lugha hata wazazi wenu wanapokula kashata huzitumia.Kwenu punga kitu kikubwa sana.Hata hao mliowapa hayo majina ni fahari yenu.Mmelaaniwa sana mtajidai kuwa ushoga si tamaduni yenu hadi mwishowa dunia ila mnuishi kwa vitendo.

kama hujafuatilia postings zangu si ungeuliza tuu au rudia uweze pick?Kukusaidia tuu nimekuambia kama umbali na mpaka utakuwa si wa kuridgisha na pawe na nyingine inayopitia mpakani kabisa.Kuna uwezekano wakenya wakafany amambo tukija amka imekula kwetu.Matusi ya nini sasa.kwani ni mara ya kwanza kenya kusema waziwazi wanataka mlima, na sehemu nyingi za nchi?Mpaka wa taveta na kwingine kumekuwa ktk mogogoro miaka mingi sana tangu kipindi ch amkoloni hadi Nyerere alipozimisha.Hadi leo Wakenya nipo nao wanafanya attempt nyingi sana za kurudi claims mali za TZ.

Tatizo za story za magengeni, vijiweni na elimu za alternative to practical ndizo zinawafanya muwe kama mlivyo.Mnakaa na kina dhaifu dar mnaandika sera kama vile mnaujua utalii.Ndio maana kila kukicha mnawatia kichefuchefu watu wa utalii wa Kaskazini.Wale watu wanaujua utalii ndio maana wameendeleza nchi, na mpaka wao bado haujamegwa kama mikoa mingine.Kaskazini wanajua vyema ardhi inavyoporwa kwani ndio matatizo yaliyojaza mahakama zao.Naongea ninachokijua wala sia laternative to practical.

Nakerwa sana na post yako inayokosa hata chembe ya uzalendo na kuwashabikia Wakenya kwenye hili suala hadi kufikia hatua ya kusema tukijenga tu hiyo barabara eti huo ndo utakuwa mpaka wetu na Kenya kwani hatujui mipaka yetu na Kenya ipo wapi? Unaongea kama vile Kenya ni nchi yenye mabavu sana na inaweza kufanya itakavyo hapa kwetu sina uhakika kama ni sahihi kujenga hiyo barabara humo mpakani ILA TAMBUA KUWA TZ NI NCHI HURU HATUPASWI KUAMURIWA MAMBO NA MATAIFA YA NJE KAMA TUMEAMUA KUJENGA HIYO BARABARA BASI NA IWE KWASABABU TUMEONA FAIDA ZA KUIJENGA NI KUBWA KULIKO KUTOIJENGA NA TUKIACHA KUIJENGA NI KWASABABU TUMEONA HASARA NI KUBWA KULIKO FAIDA NA SIO KWASABABU WAKENYA NA MATAIFA YA ULAYA HAYATAKI TUIJENGE
 
Alikuwa anafikiri anaongea na wajumbe wa NEC ambao hata akiongea pumba makofi yanapigwa

Tunakubali ukiwa raisi haimaanishi unakuwa mjuaji kwa kila idara, ila nawashangaa pia hawa watu wanaojiita washauri wa raisi waliojazana pale ikulu wanafuga tuu matumbo yao, inamaana hawatoagi ushauru wa kitaalamu ambao ni productive kwa huyu ******?
 
Rais aanze kupeleka malori ya mchanga. Hapa jirani wanataka kuleta maujanja.
 
'Stupid road' a shame comment! In defence of humanity this road must be built at any cost to pave way for the maasai development. For a long time these indeginous people have been denied access to modernity and left to be 'tourist attraction' idols! with the needed infrastructure in place these people will have the benefits that other citizen enjoys albeit inadequately! Saa ya Ukombozi ni Sasa.

My Friend. The Serengeti is a National Park - No one is allowed to settle there. Even tourists need special permission to overnight in areas other than hotels. You cannot even drive through the park after sunset. What Maasais are you talking about?

Maasais are allowed to live under very controlled conditions in the Ngorongoro Conservation Area, which is adjacent to Serengeti and which is already served by a super highway. This superhighway ends at the Serengeti gate - Naabi.

Get your facts right before you dwell on an activist campaign. Too much of Tanzania's economy is being held back by activists. At this rate, we will never fulfill our potential.

Mind you, if we go ahead and build that road, bigger activists than you will descend upon Tanzania that we will become an international pariah.
 
Nakerwa sana na post yako inayokosa hata chembe ya uzalendo na kuwashabikia Wakenya kwenye hili suala hadi kufikia hatua ya kusema tukijenga tu hiyo barabara eti huo ndo utakuwa mpaka wetu na Kenya kwani hatujui mipaka yetu na Kenya ipo wapi? Unaongea kama vile Kenya ni nchi yenye mabavu sana na inaweza kufanya itakavyo hapa kwetu sina uhakika kama ni sahihi kujenga hiyo barabara humo mpakani ILA TAMBUA KUWA TZ NI NCHI HURU HATUPASWI KUAMURIWA MAMBO NA MATAIFA YA NJE KAMA TUMEAMUA KUJENGA HIYO BARABARA BASI NA IWE KWASABABU TUMEONA FAIDA ZA KUIJENGA NI KUBWA KULIKO KUTOIJENGA NA TUKIACHA KUIJENGA NI KWASABABU TUMEONA HASARA NI KUBWA KULIKO FAIDA NA SIO KWASABABU WAKENYA NA MATAIFA YA ULAYA HAYATAKI TUIJENGE

Acha utoto wewe, wapi nimeashabikia?hapa ninawapa warning kwa kitu ambacho ni real.Sasa wewe kwa kupiga domo unadhani ushindi unakwenda hivyo.Kenya hawawezi ishi bila Tanzania kwa vitu vingi sana.Na tanzania hii tabia yao ya kukaa miaka kadhaa kabla ya kuja kuamshwa kwa scandle.Mpaka wa malawi sasa hiv ndio wanakusanya evidence sasa hayao mazungumzo ya tangu uhuru yaikuwa na maana gani?kenya wapo determined na hata wakishindwa sio mwisho kwao.Sasa wewe endele bisha ujinga wakati JK na mawaziri wake wanalala kuwa jamaa wanasema Kilimanjaro ni yao ,wewe kwa akili yao unadhani ni utalii tuu,ila ukweli nikwamba hawa jamaa wanautaka kabisa uwe kijiographia nchini kwao na mpaka ndio sehemu bora ya kusogelea.Zikishafika kilometer moja hadi meter 100 tayari halia itakuwa si clear tena.

Hizo sifa zako za adrenaline hazina shida na alichofanya Zidane hadi akastafu kama mpita njia na si shujaa,zitawaponza mfanye mambo ya kijinga sana, na mojawapo ya adhari mbaya ndiyo hii ninayokuambia.Mkiweka njia vibaya pakabaki kipande mtakachokitosa kwa miaka kadhaa kwa sababu sijui hakuna hela ya border patrol au CCM wamekula, au patrol wakawa corrupt bishara itaisha very soon.Hakun ahaja ya kutegemea military muscle tuliyo nayo sasa hivi soon tutakauwa hatuna na ushahidi ukawa duni,hapao ndipo mtakapoona joto ya jiwe kwa nchi yenye propaganda bora kama Kenya.hawachelewe k usema kuwa watanzania ni wachokozi na wakasikilizwa na mtaifa ambao tayari yanajua Kilimanjaro ipo kenya,ila pia wanajua tunawavimbia malawi, tulishfanya kwa uganda.
 
Kama kuna pesa basi si ziende kwanza KUJENGA mtambo wa Umeme kule RUFIJI?

Tukishapata umeme kwanza mengine yatafuata tu. Hii highway ni kwa ajili ya hotel za watu Serengeti.

Mijitu inadandia kwa mbele bila kujua watu wanalilia biashara zao.

Mwisho wa siku, Mtu na baba yake watajenga vituo vya mafuta njiani ili watukamue.

..............................................

BAADA ya ahadi nyingi za upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini, hatimaye Mamlaka ya Uendelezaji wa Bonde la Mto Rufiji (Rubada) imefanikisha mradi mkubwa wa ujenzi wa umeme wa nguvu ya maji.
Mradi huo maarufu kama Stiegler's Gorge unatarajiwa kuingiza katika gridi ya taifa megawati 2100 na hivyo kulifanya taifa kuwa na ziada ya megawati 500.
Tayari mamlaka hiyo imetiliana saini mkataba wa ujenzi wa mradi huo na kampuni ya Odebrecht International ya Brazil na unatarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka miwili ijayo.
Mkurugenzi wa Rubada, Aloyce Masanja akiwa mwenye furaha ya hatua iliyofikiwa amesema, "Hadi Julai 2014 Tanzania tutakuwa na Megawati 2100 za umeme kutokana na maporomoko ya mto Rufiji.".........

Rubada: Umeme wa uhakika 2014 | Gazeti la MwanaHalisi
 
Hii issue imeishaibua mijadala mingi sana, kila mtu na mtazamo wake, hadi akina Dr. Jane Goodall nae wakaingia, mwisho wa siku, mm bado nauliza, ile barabara ya Mikumi inaathiri vipi wanyama? Kama haifai pale mikumi basi hata hii ya serengeti haitafaa pia!

Serengeti ni among World Natural Wonders mzee,au hajawahi fika maana sisi wabongo utalii wetu ni Baa baada ya kazi!!!
 
Hebu tupe tafsiri ya 'Uzalendo' maana sasa tunakoelekea hili neno kila mtu ana tafsiri yake na sisi wengine tunashindwa kupata uhalisia wa hoja au matendo ya kizalendo.
Nakerwa sana na post yako inayokosa hata chembe ya uzalendo na kuwashabikia Wakenya kwenye hili suala hadi kufikia hatua ya kusema tukijenga tu hiyo barabara eti huo ndo utakuwa mpaka wetu na Kenya kwani hatujui mipaka yetu na Kenya ipo wapi? Unaongea kama vile Kenya ni nchi yenye mabavu sana na inaweza kufanya itakavyo hapa kwetu sina uhakika kama ni sahihi kujenga hiyo barabara humo mpakani ILA TAMBUA KUWA TZ NI NCHI HURU HATUPASWI KUAMURIWA MAMBO NA MATAIFA YA NJE KAMA TUMEAMUA KUJENGA HIYO BARABARA BASI NA IWE KWASABABU TUMEONA FAIDA ZA KUIJENGA NI KUBWA KULIKO KUTOIJENGA NA TUKIACHA KUIJENGA NI KWASABABU TUMEONA HASARA NI KUBWA KULIKO FAIDA NA SIO KWASABABU WAKENYA NA MATAIFA YA ULAYA HAYATAKI TUIJENGE
 
Nicholas

Nimeshindwa hata kumalizia kusoma ulicho andika hapa naona unatoka mapovu tu na hauna hoja za msingi halafu inaonyesha hata hukumbuki ulichokiandika na haujui ninachotofautiana na wewe ni nini!!!

Kenya Kuuchukua Mlima kilimanjaro na kuwa wa kwao kabisa kijiografia ni ndoto za alinacha na wanaoweza kuota ndoto hiyo ni watu kama wewe tu wanachoweza kufanya ni kuutumia kwa utalii tu na sio Mlima kilimanjaro kuwa sehemu ya Kenya.

Halafu aliyekudanga kuwa Zidane hakustaafu kishujaa ni nani? Ni nini tafsiri ya kustaafu Kishujaa? Waulize Wafaransa kama Zidane ni shujaa wao katika mpira au sio watakupa jibu.Acha kukurupuka Jipange upya
 
Last edited by a moderator:
Sabayi

Hukusikia Comment za watu na hata udhaifu wa chiraq alijitahidi tangaza kuwa BADO atabaki shujaa?lengo ni kuwatuliza hooligans waliokuwa wanaichukia France na ilikuwa tuu ni njia ya kuwa appease.

Otherwise hata yeye mwenyewe aalijutia sana.Mpaka wa kenya Na tz unachukua Site kunzia maeneo ya rombo all the way to mara ,Kutokea maeneo ya rombo kuna kona ambayo kuna sehemu warobo wanakwenda kenya wakielekea kusini,then unakuja ukiingia ndani upande wa Tazania hadi baharini.coordinate zikibadilika kidogo tuu watakuwa na case ya kufanya review mipaka na all of the suddenly mlima unaweza kuwa mpakani, au ndani ya Kenya.

Sasa ndio utajua kwanini mnadai nusunusu na malawi ziwa Nyasa .Kihistoria kenya walishawahi dai mlima kijiografia, kabla ya kurudi nyuma na kuufaidi kiutalii. Kwa taarifa yako watu wapo very busy kuhujumu mipaka yetu na kila kitu zaidi ya unavyofikiri ndio maana Nyerere alipamnana sana kuwaweka hawa majirani huru, na ikibidi kuweka vibaraka.

Mozambique tuna shida ya mpaka na kama si akina Chisano, na aliyemfuata tungekuwa tunahemeana,kama malawi. Lile daraja la ujirani mwema ni ishara ya kuwa kuna kitu kinaendelea .Mpaka hapo mwenye akili anaweza ona wapi kuna mushkeli.Kwanini tusipozee tuu mazungumzo kati yetu.

Kwa kweli unatia huruma sana ndugu yangu.Hueni vutu between line ndio maana unakuwa distarcted na vitu vidogo sana.Ndio maana watu makini hupenda tumia maandishi ongea na nyie kwa vile mkiwa kundi basi makelele yenu na kutosikiliza mkijidai kuwa mnajua sana huwafanya mkaishia dharau vitu muhimu sana.Ki ujumla hampo useful ktk discussion kwani badala ya kudescuss mnaishia tengeneza debate.

Toa maelezo ya kutosha na si hizi kelele za adreanline ambazo hata Morani wa kimasai akivuta ugoro na kutumia madawa mengine ya ulezi hufanya.
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom