Kikwete: Chanzo cha udini Tanzania hakijulikani

Kikwete: Chanzo cha udini Tanzania hakijulikani

Status
Not open for further replies.
Naweza amini maneno yake, kama twiga wanaweza kupakiwa kwenye,ndege kwenda arabuni bila system kujua, itakuwa swali la udini linaloskmamiwa na watu wachache.
Mkuu upeo tu,hebu tafakari kidogo then upost tena utakuwa umejua kwa nini rais kaongea vile.
 
Wewe unafikiri rais ni kijana mwenzako kwamba kila alichonacho ataweka wazi tena kwenye mkutano mkubwa kama huo,unafikiri angekuwa anaongea hovyo kama wewe nchi ingekuwa na siri hii utabaki gizani daima na hutamsikia atamke unachotaka.

Unaishi kwa hisia kama rais Kikwete wewe, eeh? We nani kakuambia mimi ni kijana? Rais Kikwete uwezo wake wa kuongoza taifa ni mdogo, kubali kataa! Akiwa kwenye ziara katika nchi za Scandinavian waandishi wa habari walimuuliza kwa nini Tanzania pamoja na kuwa na utulivu kisiasa na rasilimali nyingi bado ni maskini na omba omba? Bila hata aibu akasema hajui!! Swali kama hilo, siku nyingine, akaulizwa tena na SHAKA SALI wa STRAIGHT TALK ya VOICE OF AMERICA akajibu hajui pia na anasikitika sana!!! Sasa sijui wewe unatetea nini?? Rais ni General Manager anayeajiriwa na Board of Directors ili aiongoze kampuni kwa ufanisi huku amepewa resources, hawezi leta longo longo siku akiulizwa kwa nini mapato yanashuka.
 
Hivi huyu mzee timamu kweli?daah nchi hii ina bahati mbaya sana aisee
 
kosoa na toa ushauri. Haya kwako wewe chanzo cha udini ni nini?

CCM kwa kupenda "kupewa ushauri" hamjambo. Hivi ina maana hamjui kwa nini mko madarakani? Mavyombo yote ya utendaji kazi yake nini? Au nayo yame-fail? Au hawajui kwanini wanalipwa mishahara na maposho manono manono na kutimulia wananchi vumbi kwa ma-V8 ya serikali?
 
Acheni chuki binafsi kipi kibaya alichokisema kilichowauma?

Kweli cancer hii (CCM) inatafuna akili za wengi.............yani tatizo hatari kama la udini then kiongozi wa nchi anasema chanzo hakijulikani................then wasema wanaomkosoa ni chuki binafsi????????????? Hivi jiulize kama hujui chanzo cha tatizo utakuwana uwezo gani kulitatua.......................

Rais wa nchi anakila kitu..rasilimali zote anazohtaji kushughulikia mabo ya nchi then kirahisi tu.......................jamani..?

Anyway kama kawada Majibu rahisi kwa maswali mazito............................

Naamini anafahamu chanzo...........so kwakuwa thngz r out of control hana namna tena...............poor Tanzania.......
 
Huyo nae mweupe kweli amesahau kampeni zake za 2010?
 
Kwani wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna amani?

Kama Rais kasema hajui, na wewe unajua, basi tusaidie, chanzo ni nini na suluhisho ni nini?

Tunahitaji mawazo m-badala, badala ya kutupa mawazo m-badala unatuambia "bora Mwinyi angetoa misamiati...!

Kwamba ingekuwa ni wewe unatoa speech hii ungetuambia solution yako ya tatizo la udini nchini ni "Tunamwomba Mwinyi aje atoe misamiati...." Pathetic.


Nadhani nimeshaongelea Mara NYINGI tatizo kubwa La UDINI ni UCHUMI... THE WIDENING GAP BTN RICH and POOR; Hii imesababishwa na Serikali ya CCM kuuza Viwanda vya Serikali especially vile vingi Vya Dar mfano TEXTILES NYERERE alipendekeza viwe Labor intensive kwahiyo vinaajiri watu wengi... na unajua ni more QUALITY than QUANTITY -- Sasa kama Dar ambayo inapopulation kubwa wengi unskilled and semi-skilled labors walipata kazi; Wakapata pesa za kuweka angalau mlo mmoja mezani na kibanda cha kulala usiku...

Sasa Mkapa akauza no replacement sasa ni zaidi ya miaka 15 watu hawana kazi; nyumba; mlo - wengi wanaishia kupata ahueni Makanisani na Misikitini... sasa huko wanasikiliza DOCTRINE na Wanapewa Chakula saa nyingine day Job... na wanakuwa source of their livehood...

Sasa kwasababu ya kushinda huko kwenye NYUMBA za DINI na hauna source nyingine zaidi ya DINI ndio hapo sasa watu wanaanza kutafuta utofauti kati yetu na kutumia huo utofauti... but the REAL cause is ECONOMY!!!
 
Inawezekana pia hajui kwa nini aliingiza kipengele cha mahakama ya kadhi kwenye ilani ya ccm ya mwaka 2005!
 
acheni kumsakama bure MTUKUFU ALHAJI DAKTARI RAISI WA MILELE MKULU WA MADENTISTS WA MENO YA TEMBO NA WACHUMIA TUMBO WALIOTAPAKAA TZ NZIMA HASA KISTONI ALE LUMUMBA.KUTOYAJUA HAYO SI LAZIMA KWANI HUENDA PIA HAJUI RITZ MOJA NI NTOTO WA NANI WALA SALMA NI NKE WA NANI SEMBUSE HAYO?
 
Chanzo cha Udini Tanzania ni Kikwete mwenyewe. Anachokifanya ni kujaribu kuficha kichwa chake shimoni mithili ya nyoka, wakati mkia wake uko nje!!
 
Nasikitika sana kwa jinsi tulivyochezea miaka 8 ya utawala wa huyu Muishiwa wa Bagamoyo.
He's literary very inept.
 
Kweli cancer hii (CCM) inatafuna akili za wengi.............yani tatizo hatari kama la udini then kiongozi wa nchi anasema chanzo hakijulikani................then wasema wanaomkosoa ni chuki binafsi????????????? Hivi jiulize kama hujui chanzo cha tatizo utakuwana uwezo gani kulitatua.......................

Rais wa nchi anakila kitu..rasilimali zote anazohtaji kushughulikia mabo ya nchi then kirahisi tu.......................jamani..?

Anyway kama kawada Majibu rahisi kwa maswali mazito............................

Naamini anafahamu chanzo...........so kwakuwa thngz r out of control hana namna tena...............poor Tanzania.......

sio kama rais kila kitu anajua ndo maana ana watendaji? Si alimtuma STEVEN WASSIRA?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom