CCM original
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 373
- 68
Kwa akili yako hiyo huwezi kujua mapungufu ya mwenyekiti wako labda ukamwite sheikh yahaya....
kosoa na toa ushauri. Haya kwako wewe chanzo cha udini ni nini?
Kwa akili yako hiyo huwezi kujua mapungufu ya mwenyekiti wako labda ukamwite sheikh yahaya....
Pale ikulu hakuna rais mtu bali kumetundikwa shati linaloitwa rais kikwete.
yes dhaifu is the word kwishaDhaifu....
kwani na wewe hujui chanzo kama Dhaifu?wewe unaejua chanzo hebu tueleze ilivyokua.
Kinana na NapeKikwete anamtega nani?
Acheni chuki binafsi kipi kibaya alichokisema kilichowauma?
akiongea katika shrehe za mei mosi rais kikwete amrsema hakuna anayejua chanzo cha udini hapa nchini
pengine alikuwa anawajibu wale wanaodai yeye ni kinara na mhasisi wa udini, na wenzake akina mwigulu ambao wanadai chadema ndiyo chanzo
hili ni tusi ambalo naamini sio tu linamdhalilisha rais bali ni ukiukwaji wa uhuru wa kutoa maoni.
Wewe unafikiri rais ni kijana mwenzako kwamba kila alichonacho ataweka wazi tena kwenye mkutano mkubwa kama huo,unafikiri angekuwa anaongea hovyo kama wewe nchi ingekuwa na siri hii utabaki gizani daima na hutamsikia atamke unachotaka.Amechaguliwa na wananchi, anaishi kwa jasho la wananchi ana mamlaka yote na vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yake kwa nini asivitumie kupata majibu ya tatizo la udini? Kazi yake ni nini sasa kama yeye hana jibu nani awe nalo? Anajidhalilisha mwenyewe ni bora tu angekaa kimya!! Kama hajui ina maana hata ufumbuzi wa tatizo hilo hana! Na kama ni hivyo ana tofauti gani na shati lilotungikwa kwenye msumari?
Nakumbuka jinsi 2010 alivyokuwa anatoa maneno ya ya kejeli kuwa wengine wanataka kwenda ikulu na wake wa kuazima sasa kama yeye alienda na mke wake kwanini akalie kulia lia? Afanye kazi aache sanaa! Usiwe unatetea tu kazi aliiomba mwenyewe tena alisema alijiandaa miaka kumi kuwa rais! Sasa kila tatizo yeye ni kulalamika kama raia wake au alidhani kuwa rais ni kuuza tu sura. Let him come out with tangible solutions and not complains!!
Yule ni rais anamipaka yake katika kuongea hawezi kukulupuka kama unavyodhani wewe.
huh...!!una maana wezi wa wake za watu sikuhizi wanajua majukumu ya urais?Raisi anatakiwa ajue kwasababu yeye ndo mwenye dola- jeshi, polisi, Tiss, na mkiti wachama. Kama ameshindwa kujua aondoke wanaojua majukumu ya raisi wafanye kazi.