Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,365
- 33,528
kama wewe usiejua mapungufu ya katibu mkuu wako labda ukamwite pengo.Kwa akili yako hiyo huwezi kujua mapungufu ya mwenyekiti wako labda ukamwite sheikh yahaya....
kama wewe usiejua mapungufu ya katibu mkuu wako labda ukamwite pengo.Kwa akili yako hiyo huwezi kujua mapungufu ya mwenyekiti wako labda ukamwite sheikh yahaya....
Halafu wewe mtoto kuwa na adabu na baba zako....umeambiwa nadondokaga jukwaani...kama wewe usiejua mapungufu ya katibu mkuu wako labda ukamwite pengo.
Hivi raisi ni salma, riz1 au ni kikwete mwenyewe au uraisi ni swala la familia kwa hiyo wote ni maraisi....Huyu hajui kila kitu!. Mmiliki wa dowans na richmond hajui, chanzo cha udini hajui,Tanzania kuwa maskini hajui, inawezekana hata hajui kwa nini yeye ni Rais! Wakati mwingine matumizi ya akili yakiwa mabaya hakuna kinachojulikana. Rais wa nchi kusema sijui, sijui, sijui.... Nani basi anajua?. Udhaifu!
Kwani wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna amani?NYERERE alikuwa anatumia hii mikutano kuwaelewesha Wananchi Msimamo wake na Jinsi gani Amani itapatikana...Aheri Mstaafu Rais Mwinyi angeweka Misamiati yake...
b ya kuanguka mara i wake wawa wakiwambia apumzike safari za marekani marakwa mara hakuwa sikia sasa basi inawezekana kabisa wanamshauri aacie madaraka nchi imemshinda hawaelewi kutokana na ubishi wake....Haiwezekani tuwe na Kiongozi wa nchi asiyejua kiini cha matatizo yanayowasibu 'watu wake'. Amefanya juhudi gani kutafiti hata aje na majibu marahisi rahisi kwa tatizo gumu. Laikini hata pale alipodai bila kulazimishwa na mtu kuwa anawajua wauza madawa ya kulevya, ni hatua gani aliwachukulia? Nakerwa kuwa na kiongozi wa namna hiyo. Pengine hii ndiyo sababu Mnyika alimwita DHAIFU. Kwa nini wanaomshauri wasilione hili? Kama yeye hajui ngoja wenye majibu (Lema) waje wamjulishe.
Sasa kama kila kitu hajui, mbona anajifanya kujua rais ajaye wa tz. (Ref.. azimio la bagamoyo)Huyu hajui kila kitu!. Mmiliki wa dowans na richmond hajui, chanzo cha udini hajui,Tanzania kuwa maskini hajui, inawezekana hata hajui kwa nini yeye ni Rais! Wakati mwingine matumizi ya akili yakiwa mabaya hakuna kinachojulikana. Rais wa nchi kusema sijui, sijui, sijui.... Nani basi anajua?. Udhaifu!
Huyu hajui kila kitu!. Mmiliki wa dowans na richmond hajui, chanzo cha udini hajui,Tanzania kuwa maskini hajui, inawezekana hata hajui kwa nini yeye ni Rais! Wakati mwingine matumizi ya akili yakiwa mabaya hakuna kinachojulikana. Rais wa nchi kusema sijui, sijui, sijui.... Nani basi anajua?. Udhaifu!
Kwani wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna amani?
Kama Rais kasema hajui, na wewe unajua, basi tusaidie, chanzo ni nini na suluhisho ni nini?
Tunahitaji mawazo m-badala, badala ya kutupa mawazo m-badala unatuambia "bora Mwinyi angetoa misamiati...!
Kwamba ingekuwa ni wewe unatoa speech hii ungetuambia solution yako ya tatizo la udini nchini ni "Tunamwomba Mwinyi aje atoe misamiati...." Pathetic.
Ni punguwani tu ndiyo anaweza kuuliza swali kama hilo...msitake hata mtoto wangu wa la kwanza akagombee uraisi....Kwani wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna amani?
Kama Rais kasema hajui, na wewe unajua, basi tusaidie, chanzo ni nini na suluhisho ni nini?
Tunahitaji mawazo m-badala, badala ya kutupa mawazo m-badala unatuambia "bora Mwinyi angetoa misamiati...!
Kwamba ingekuwa ni wewe unatoa speech hii ungetuambia solution yako ya tatizo la udini nchini ni "Tunamwomba Mwinyi aje atoe misamiati...." Pathetic.
Wala siyo shart ni shart la promoter wa Diamond na wasaidizi wake ni watengeneza video, kama una clips ya harusi yako wapelekee wanauwezo wa kumuweka na obama akaonekana alikuwepo kwenye harusi yako na bei ni nafuu sana.Pale ikulu hakuna rais mtu bali kumetundikwa shati linaloitwa rais kikwete.
Kikwete ni muumini wa mfumo wa "Divide and rule", na dini ndiyo imeonekana ni nyenzo imara kutekeleza huo mfumo kwa hapa nchini. Hivyo hawezi kutatua tatizo la udini.Hili ndilo tatizo la JK na serikali yake. Kufunika mambo, udini chanzo chake ni dini, nadhani tujiulize kwa makini, utayari wa watawala wetu kutatua hili tatizo.
Kama ni raisi tunae, Mmiliki wa richmon hawajui, chanzo cha udini hakijui, waliomteka na kumgoa meno bila ganzi Dr. ulimboka hawajui, walie muua pade kule znz hawajui, waliomuua mwangosi hawajui..........sasa kazi ya hao aliowajaza hapo ikulu ni nini au kuedit video ya chadema..huu ni upum
Kama ni swali la punguwani mbona linakushinda kunijibu?Ni punguwani tu ndiyo anaweza kuuliza swali kama hilo...msitake hata mtoto wangu wa la kwanza akagombee uraisi....
Mwenyekiti wa chama?Raisi anatakiwa ajue kwasababu yeye ndo mwenye dola- jeshi, polisi, Tiss, na mkiti wachama. Kama ameshindwa kujua aondoke wanaojua majukumu ya raisi wafanye kazi.