Ivi kweli kinachoendelea bandari unaridhika nacho baba? Unauhakika kinatupeleka sehemu salama?
Ivi ushirikiano wetu na Rwanda umeridhika nao? Unajua agenda ya Kagame katika ushirikiano huu? Ushirikiano huu unatupeleka sehem salama?
Iv unaridhika na jinsi uchumi wa nchi unavyoenda? Iv pesa ikikosa vitu vinapaswa vishushwe bei au vipande? Baba una uhakika tunaelekea sehemu salama?
Iv baba hizi VAT umeridhika nazo? Zitatuongezea mapato au zitakimbiza wawekezaji na mapato?
Iv hakuna namna ya nyie kuwa washauri wazuri na mkaargue nae kwa fact na akaelewa?
Iv baba unajua miez miez au miaka michache ijayo tutakuwa na hali gan?
"Wanaolialia hakuna pesa ni wale waliokuwa wanazipata bure"
Kweli? Labda ninaduka na nilikuwa naingiza faida ya laki mbili kwa wiki ila sasa naingiza faida ya elf 50 kwa wiki inamaana namimi nilikuwa napata hela ya bure?
Kikwete baba una turufu tar 23 ya kutusaidia Watanzania wenzako! Kama hamuwez kumshauri basi mfunge speedgovener! Maana asipomiliki chama baadhi ya mambo mtampinga kama chama na angalau mtaokoa nchi hii!!
Tofauti na hivyo baba utakuwa unatutelekeza wanao huku wewe ukienda UN na kutuacha wakiwa!
Baba miaka mitano ni mingi!!!!!