Kikwete bado una nafasi ya kuisaidia nchi

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,417
Ivi kweli kinachoendelea bandari unaridhika nacho baba? Unauhakika kinatupeleka sehemu salama?

Ivi ushirikiano wetu na Rwanda umeridhika nao? Unajua agenda ya Kagame katika ushirikiano huu? Ushirikiano huu unatupeleka sehem salama?

Iv unaridhika na jinsi uchumi wa nchi unavyoenda? Iv pesa ikikosa vitu vinapaswa vishushwe bei au vipande? Baba una uhakika tunaelekea sehemu salama?

Iv baba hizi VAT umeridhika nazo? Zitatuongezea mapato au zitakimbiza wawekezaji na mapato?

Iv hakuna namna ya nyie kuwa washauri wazuri na mkaargue nae kwa fact na akaelewa?

Iv baba unajua miez miez au miaka michache ijayo tutakuwa na hali gan?

"Wanaolialia hakuna pesa ni wale waliokuwa wanazipata bure"

Kweli? Labda ninaduka na nilikuwa naingiza faida ya laki mbili kwa wiki ila sasa naingiza faida ya elf 50 kwa wiki inamaana namimi nilikuwa napata hela ya bure?

Kikwete baba una turufu tar 23 ya kutusaidia Watanzania wenzako! Kama hamuwez kumshauri basi mfunge speedgovener! Maana asipomiliki chama baadhi ya mambo mtampinga kama chama na angalau mtaokoa nchi hii!!

Tofauti na hivyo baba utakuwa unatutelekeza wanao huku wewe ukienda UN na kutuacha wakiwa!

Baba miaka mitano ni mingi!!!!!
 
Tumeacha kumuita Mwenyezi Mungu. Tunamuita mtu aliyetupa ulaji baba .... hivi Tanzania ni mali ya nani? Isijekuwa watu wanafikiria ni mali yao binafsi
 
Daaah kikwete hana nafasi kabisaa katika maisha yako kikubwa pigana na changamoto zinazokukabili hawa watu waache tu kama walivyo....umetumia jina baba mara nyingi sana, au wewe ni wa chama kileee pia unaona atawapa shida, sie wengine tushazoea kuhangaika na maisha yetu, wale wanalindana
 
Chukulia mfano huo wa mwenye duka na mapato yake!!!! Usikariri tu pambana sasa unapambana wakati wateja hawana hela au unaiba?
 
hivi watanzania mnafahamu maana ya uchochezi??unamshauri JK ili afanyeje?nahisi wewe hujielewi!!!darasa la saba au vyeti bandia!!!jihadhari sana na maneno yako na uandishi wako!!
 
hivi watanzania mnafahamu maana ya uchochezi??unamshauri JK ili afanyeje?nahisi wewe hujielewi!!!darasa la saba au vyeti bandia!!!jihadhari sana na maneno yako na uandishi wako!!
Akili ndogo utamjua tu! Endelea kubwabwaja
 
Chukulia mfano huo wa mwenye duka na mapato yake!!!! Usikariri tu pambana sasa unapambana wakati wateja hawana hela au unaiba?
So unadhani asipopewa uenyeketi hali itabadilika? Yakupasa uwaze mbali ni kweli hali ni mbaya lakini kama tunataka mabadiliko yakutupasa tukubaliane na mambo haya....kuna watu walikuwa wanafaidi alone nw tunapoelekea binafsi naona kuna mwanga tuwe wavumilivu
 
Huyu jamaa ni lazima apewe chama. Kwani nyie wa tz si ndio mliomchagua? Mlimchagua au kajipachika mwenyewe? Sasa malalamiko ya nini? Mwacheni apige kazi bwana punguzeni kelele
 
Back
Top Bottom