king's lawyer
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 408
- 358
Miezi tisa iliyopita mulimuona hafai na legelege kumbe alikuwa akiwahurumia.
Walibya walitaka waitwe Majasiri wakafanya Uasi kama unavyotaka itokee Tz lakini leo wanatamani wangebaki kuitwa Mafala kama Watanzania!Watanzania tulio wengi hatuna ujasiri wa kuwakoromea watawala wetu.
Hivi unadhani Watanzania wanaweza wakafanya uasi wa kupinga watawala waliopo madarakani?
Mi bado sijauona huo ujasiri aisee.
Hahahahahahauna roho mbaya wewe
Siku ya KIAMA,HUKUMU Sijui itakuwaje.UNAFIKI NI JANGA JABALI SANA MIOYONI MWA BINADAMU.NI WANAFIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIJK ni binadamu sana!
Aliruhusu wajanja wajanja mtusumbue sna wastarabu....enzi zile ukitaka hata ukuu wa wilaya unapata just uwe janja janja na kupost picha nyingi fb.
Someni namba
Kauli zake zitawaudhi wapigaji tu. Kwa wanyonge ni makofiKwa Kifupi JK sawa alikuwa na mapungufu yake lakini hakuwa na kauli mbaya na za kukatishana tamaa kama hizi zinazoendelea sasa hivi. Long live Kikwete
Badilisha Username yako mkuu. Sijaona u wise wowote hapo.Aliruhusu wajanja wajanja mtusumbue sna wastarabu....enzi zile ukitaka hata ukuu wa wilaya unapata just uwe janja janja na kupost picha nyingi fb.
Someni namba
Hata wewe hapo ulipo unaisoma namba kimya kimya ila unalazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi....kazi unayo.Aliruhusu wajanja wajanja mtusumbue sna wastarabu....enzi zile ukitaka hata ukuu wa wilaya unapata just uwe janja janja na kupost picha nyingi fb.
Someni namba