Kikwete awataka wanasiasa wavumiliane

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Ndugu wanaJf, Leo mh. Jk yupo Dodoma ktk kuhudhuria sherehe za kusimikwa Uaskofu mpya wa dom askofu Gervas Nyaisonga. Alipopata fursa ya kuzungumza, mh. Aliwataka viongozi wa dini kuwasihi na kuwaasa wanasiasa kuvumiliana ktk tofauti zilizopo kati yao.
Mh. Alisema "wanasiasa wanapaswa kuvumiliana na kuzimaliza tofaut zilizopo kwa amani na utulivu pasipo choko choko wala uchochez wowote"
Source; Rfa
 
Tatizo ni matumbo! wenzio wanaona unakula peke yako wao mate yawadondoka unadhani watakaa kimya? Labda wote wajumuishwa kwenye serikali ya mseto.
 
Tofauti \zitamalizwaje kama watu wanaendelea kuteseka na maisha magumu!
Tofauti zilizopo ni kati ya matajiri na masikini, siyo upande wa kisiasa...Nooo!
Asikwepe agenda!...Asije akathubutu kusema hayo kwa wenye akili!
 
mnafikiri angeongea nn zaidi ya haya aliyoongea? This is our prezdaa we selected him.
 
Pia ametoa wito kwa viongoz hao ktk madhehebu yao kuombea taifa, kwamba hali ya nchi ilipofikia TAIFA HILI LINAITAJI MAOMBI NA MAOMBEZI.
 
Yeye ana uvumilivu? yuko tayari kuvumilia kweli? mbona kamwaga damu isiyo na hatia kama anao uvumilivu?
 
mweshimiwa rais amesema kweli ni vizuri watu wakavumiliana lakini watumishi wa halmashauri zetu nao tusiwavumilie kwa ubadhirifu wa fedha za umma kama kamati ya bw mrema ilivyobaini wizi mtupu huko kilimanjaro watumishi wale wachukuliwe hatua mara moja ili iwe mfano na kwa wengine.
 
Kisasu haqu. jino kwa jino, pua kwa pua, neno kwa neno, maiti kwa maiti, mpaka mbaya ajulikane.
Kitaeleweka tu.
Nchi si ya wanasiasa tu wala hawakupewa urithi na babu zao, ni yetu wote na vyote vilivyomo vitutunze wote kisha siku zetu zikisha duniani, ardhi yetu ituhifadhi.
Mtubu na kurudisha kisicho haki yenu ili mfanyiwe wepesi.
 
mbona yeye hakuvumilia maandamano ya CDM mz.shy.kag,mara akayaita ni mapinduzi ya serikali yake na ya uzushi; badala ya ukweli kwamba ni mawazo tofauti ya mtazamo wa chama husika???? aache unafiki!!
 
mnafikiri angeongea nn zaidi ya haya aliyoongea? This is our prezdaa we selected him.
he z our prezda kweli ,but we ddnt select him.
Labda km wewe ni member wa tume ya uchaguzi au upo usalama wa taifa ,kwasababu hao ndio waliomchagua na siyo umma wa watz.
 
kwani ni nin maana ya kauli yake? Je anamaana wana ccm wawavumilie cdm or cdm wawavumilie ccm?
 
Back
Top Bottom