Kikwete awataka wanasiasa wavumiliane

Kikwete awataka wanasiasa wavumiliane

Awaambie kwanza mawaziri wake wawe wavumilivu(Sophia Simba, Membe, Wassira)
 
Ndugu wanaJf, Leo mh. Jk yupo Dodoma ktk kuhudhuria sherehe za kusimikwa Uaskofu mpya wa dom askofu Gervas Nyaisonga. Alipopata fursa ya kuzungumza, mh. Aliwataka viongozi wa dini kuwasihi na kuwaasa wanasiasa kuvumiliana ktk tofauti zilizopo kati yao.
Mh. Alisema "wanasiasa wanapaswa kuvumiliana na kuzimaliza tofaut zilizopo kwa amani na utulivu pasipo choko choko wala uchochez wowote"
Source; Rfa

Nafikiri hapa haiitaji akili au taaluma kubwa sana kujua alikusudia nini Mh Rais.

Nia na madhamuni yake ni kusisitiza na kudumisha amni ndani ya nchi. Hebu fikiria ingekuwa enzi za Nyerere, Slaa angethubutu kusema haya anayosema.

Jamanikuvumiliana na kuheshimiana na kutumia busara zaidi katika kukosoa mambo na kutumia lugha za kistaharabu katika majukwaa. Huo ndio utamaduni wetu na kudumisha amani yetu

...ndugu, hapo nilipo-underline naona unajaribu kulinganisha nyakati mbili tofauti sana! Definately, Dr Slaa angekuwepo kwenye nafasi aliyonayo sasa wakati huo asingeweza kusema haya kwani wakati huo HAKUKUA na GRAND CORRUPTION!, enzi hiyo kulikuwa na rushwa ndogo ndogo tu ambayo huwezi kuilinganisha kwa namna yoyote na yanayotokea sasa - Richmond, DOWANS, EPA, IPTL, Meremeta, only to mention a few!:angry:
 
mnafikiri angeongea nn zaidi ya haya aliyoongea? This is our prezdaa we selected himThis is our prezdaa we selected him..
ulimchagua wewe sio mimi,na wengi wetu humu jf hata mitaani hatukumchagua!
 
Lakini si ndie Rais wetu? Au kunaagenda ya siri juu ya kauli hii?
 
Tofauti \zitamalizwaje kama watu wanaendelea kuteseka na maisha magumu!
Tofauti zilizopo ni kati ya matajiri na masikini, siyo upande wa kisiasa...Nooo!
Asikwepe agenda!...Asije akathubutu kusema hayo kwa wenye akili!

Pakajimy umepiga penyewe , wanasiasa wakivumiliana umaskini utaisha? au umaskini unaletwa na wanasiasa wasioelewana au wanasiasa wachache walafi?
 
Wanafiki wanapaswa kuchomwa moto!! haoni kuwa watu wanamcheka??? yaani anajikanyaga mwenyewe hivyo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom