Kikwete avunja monopoly

ukibishana na usiyejua utamaliza maneno na kuchosha ubongo, au labda ametumwa ili aweze pata mwelekeo kwa kutaka kuleta hoja ya ka-udini dini. nawachukia mno watu wenye hoja za namna hiyo, kwa kuwa kwa hakika ndio sumu yetu hawa. msimalize nguvu kumweleza maana baada ya hapo anaweza kuja na hoja mbovu zaidi. kalaga baho na ubozi wako
 
Sidhani km ni hivyo?Bado more than 80% ya shule zinazotoa matokeo mazuri ni za kanisa. Traininig centres kwa akina dada wasioweza kabiliana na elimu zitolewazo ktk shule rasmi nyingi zipo ktk kila kanisa na vituo vya masista.Pia wamiliki wa shule walioshindwa endela na upadri ambao bado wanaishi ktk misimamo ya kikatoliki bado wana shule nyingi.Shule nyingine za kata ni vijitawi vya katoliki km joing venture hasa pale wazawa walishindwa changisha vya kutosha kuachia kanisa.Hizo shule za kata si zote zimejengwa kwa asilimia 100% na serikali.
So bado kuna maeneo mengi ya kuweza kuchukua share kubwa ktk umiliki wa shule na taasisi za elimu .Achilia mbali shule zitakazo kufa kwa kukosa wanafunzi, uangalizi , walimu etc na kugeuzwa kuwa kitu kingine.Kuna shule zimejengwa mahali mabinti hawakuwahi fika kidato cha 3 na darasa baada ya term ya kwanza from1 hawajawahi baki 7, na wavulana wamerithishwa majukumu ya familia au kusoma sehemu nyingine.Hizi zote gharama ya kuzifanya zisife ni kubwa kuliko kuzifuta.Shule za misaada nyingi zemejitahidi hata wahamisha wanafunzi na kuwasomesha ktk shule zilizopo mjini angalu watoto wasome ila bado na watu wao wanawatumia hata ndumba ili wapate vichaa na kurudishwa nyumbani kw amukumu ya kuolewa au kufanya kazi za jadi.Serikali haitoweza haya yote.
 
Rib. hana kipya mwache aambiwe ndo aje aandike hukubila kuwa na takwimu za msingi na ndo tatizo kubwa la hawa jamaa. Elimu sijui wanaitumiaje kama wanashindwa kuelewa hivi. Yaani hivi ndo umpe nchi ana haribu kama jamaa yake huyu.
 

Pumbaaf!
 
Kikwete hana legacy yoyote muhimu zaidi ya uraisi na utawala dhaifu kuliko maraisi wote na mkumbatia ufisadi. Miaka mitatu ni mingi sana kwa Watanzania hadi siku huyu Msanii Mkubwa na Mswahili apotee zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…