Kikwete avunja monopoly

Kikwete avunja monopoly

Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.

Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.

Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.

Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.

zungumzia quality na siyo quantity
 
zis is ze pumba spekin in zis taim. Braza, nekst taim trai tu uz yua guud akiliz
.
Royals Mkuu hii lugha unayoiongea hapa sijui ni lugha gani hii ... maana si English, si Kiswahili & si Ki-swanglish ... nafikiri hii lugha itakuwa inaitwa ki-Royals! (kutokana na ID yako JF!)
 
zungumzia quality na siyo quantity
.
Mkuu Nyakageni nafikiri wewe bado hujamuelewa anachozungumzia huyu Ribosome! (aka FF) ... yeye hayupo kwenye Quality wala Quantity ... yeye kinachomsumbua ni UDINI tu .... hakuna lingine ... ukishalijua hili basi unaweza kumuelewa anachozungumzia hapa
.
 
Mtanilipa nini huko, ikiwa posho za laki mbili kwa siku mnapigia kelele? mie nafunguwa disko niuze vitoto vya kike, inalipa sana, kama unabisha muulize mwenyekiti.

Nilikuwa sijakupata vizuri Mh Rob kumbe wewe ni mmoja ya wagonjwa waliotoroka mirembe? Unatafutwa haiingi akilini mtu mzima kuandiko utumbo kama huu. SHAME ON U
 
Una maana kabla ya kuja Kikwete mlikuwa hamna fedha mifukoni mwenu? au?

ribs naona hujui kwamba kuna mikoa nyingine wanankijiji walikuwa wanajijengea shule za Primary na Sekondari wenyewe hata kabla ya Kikwete na mpaka sasa hivi. Alichokuwa ananamaanisha James ni zile hela za kujenga hizo shule zilikuwa ktk bajet na siyo mfukoni kwa JK
 
Sasa wewe ulitaka nikufagilie wewe? umefanya nini zaidi cha kufagiliwa? Kikwete kajenga shule za Sekondari zaidi ya 6000 katika kipindi chake cha miaka 6. Ni zaidi ya shule zote za Sekondari zilizokuwepo kabla ya yeye kuwa madarakani, Jee, ni dogo hilo?

Ribo hivi hizi shule za 'kikwete' ndo zile ambazo walimu hakuna? na waliopo hawafundishi kazi yao kuuzia wanafunzi maandazi, n.k? na ambazo kama zina madarasa basi hayatoshi? ambazo walimu 'wa ukweli' hawataki kwenda kufundisha? na ambazo wanafunzi wake (ktk zile za primary) wanafaulu bila kujua kuandika au kusoma? Najua umesema sekondaru tu lakini hajaanzisha sekondari peke yake zipo za msingi pia. Sasa kama mashule yote haya yako hovyo namna hii kulikuwa na haja gani ya kuzianzisha? Si angeanzisha taratibu tu shule chache zenye maana? Au yuko katika vita na shule za 'kikristo' ambazo by the way inaonekana kama vile unazipiga vita wewe mwenye? Wewe na wenzio hamuwezi kuanzisha mashule ya maana yenye kufaulisha wanafunzi na sio kama haya unayosifia yanopoteza muda na pesa za watu kwa sababu tu ya kuwa na 'vita binafsi' dhidi ya Kanisa na institutions zake? Ni vizuri kuwa na shule nyingi na zinazopasisha na si kukurupuka tu na kuanzisha shule huko mitaani ambazo ni vituko na zisizokuwa na maana.... Katika hizo 6000 ni ngapi zinafanya vizuri au na wewe unaangalia namba na sio perfomance? Hata zifike 50,000 kama ni madudu tu hakuna kitu hapo ni upuuzi na kupotezeana mida na pesa za walalahoi kwa ajenda binafsi isiyokuwa natija katika Taifa.. Halafu Ribo una-sound kama mdini vile ingawa mie sina tatizo na wewe au mtu mwingine kuwa mdini na sori kama utakwazika kwa hilo. Ila mashule hayo ya Kikwete mengi ni madudu!!!!
 
naona dar mwaka huu mvua ziliendelea hadi katikati ya mei, nadhani hii nayo ni kazi ya kikwete.
 
Kuna watu hawajamuelewa Ribo,

Ukweli ni kuwa iwe kwa JK au yoyote alianzisha mashule haya ya kata, Ni kwamba kwa uwepo wake umeondoa umonopoly wa taasisi na madhehebu kuwa na shule nyingi. FULL STOP.

Wakati zamani ilikuwa ni shida kupata shule ya kusoma, hasa kutokana na mifumo ya shule za kitaifa kwa sasa sio issue tena. Mimi nilisoma Tabora Boys na ninakumbuka katika shule nzima ni kiasi cha kama 2-3% ndio walikuwa wanatoka tabora, hali hii ilipelekea mikoa watoto wa mikoa husika kukosa elimi maana wengi ya wanaosoma wanatoka mikoa mingine kwa UPUUZI unaoitwa (Shule za kitaifa).
Suala ya matatizo ya walimu na mengineyo ni phase two ambayo naamini soon yatashughulikiwa.

Ukweli utabaki pale pale baada ya mtoto akasome St. mary kw ada ya zaii ya 1 Million sana anaenda kusoma shule ya karibu kabisa tena analipa sh 20,000 kwa mwaka. Mimi naamini kabisa hizi changamoto zilizopo zikisahihishwa hizi shule za madhehebu zitakuwa historia.

Na ukitaka kuamini haya ninayoyasema angalia sasa hivi taasisi nyingi za kidini zimekimbilia kuanzisha vyuo kwa kuwa kwenye shule za secondary hakuna dili tena na hazilipi.

By Tume y katiba
 
Go to hell ribosome with your kiwete plus udini wenu!
 
kaka Rob uko mbali na hali halisi. shule zilijengwa kwa misaada ya waingereza na bank ya dunia. na kuna riport inaponda sana udhaifu wa serikali ya kikwete kuwa mbali na misaada hiyo kini elimu imezidi kushuka kwa kasi. serikali ya ccm haina mbavu za kujenga shule zaidi ya kuomba misaada na kupewa kawa masharti kama mliyowahi kusikia. misaada ya uingereza,marekani na umoja wa ulaya ndo inayozidi kutufanya tegemezi huku tukiwa matajiri wa rasilimali ambazo zinakombwa na haohao na in return tunapata vijimisaada vya kijinga na visivyoendelevu. Kikete ni ombaomba hata suti kwa twiga!!!??
 
miisilamu ikikosa kazi inaanzisha mambo ya hovyo km haya ili kutupotezea muda.
 
Sasa wewe ulitaka nikufagilie wewe? umefanya nini zaidi cha kufagiliwa? Kikwete kajenga shule za Sekondari zaidi ya 6000 katika kipindi chake cha miaka 6. Ni zaidi ya shule zote za Sekondari zilizokuwepo kabla ya yeye kuwa madarakani, Jee, ni dogo hilo?

kazi ya lowasa mkuu
 
Mpango wa shule za kata mbona ulianzishwa na Mkapa na umeuawa na JK? Ajenge shule 6000 atazinya wapi wakati mokopo tu kwa elimu ya juu waliyoanzisha wenzake imemshinda? Kadanganye mazuzu wenzako wasiopenda shule.
 
Ungekuwa huna shule hao waalimu ungewapeleka wapi? ungekuwa huna shule ungejenga nyumba za waalim? ungekuwa huna shule ungeongeza wanafunzi? ungekuwa huna shule ungevunja monopoly? ungekuwa huna shule ungejenga vyoo?

Usishangae shule kutokuwa na vyoo, utamaduni wa vyoo kwa watu wa bara umeanza hivi karibuni tu. Wewe alikotoka babu yako kuna vyoo? Usijali, tutawafundisha taratibu utamaduni wa vyoo na utamaduni wa kutumia maji unapomaliza haja zako, muda si mrefu mtaanza kujenga vyoo na kuvitunza ipaswavyo.

baba zenu washukuru sana misheni kuwafundisha kuvaa kufuri,la sivyo wangekuwa bado wanaushamba wa kujianika vibarazani uku wanatingisha vimiguu,pembeni watoto wanachungulia live mzee anamwaga radhi mchana kweupee mbuzi anakula jani.
 
Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.

Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.

Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.

Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.

Watu bwana! Wingi wa shule si hoja! Ubora wa elimu ni tija pekee katika maendeleo ya elimu!
 
Kila siku huwa nasoma humu Jamvini kuna kundi linalojitapa kuwa la wasomi Tanzania swali langu hivi huo usomi wao umelisaidiaje taifa letu?

Subiri 2015 ndo utajua wasomi wataifanyia nn nchi... Jumamosi ijayo unakaribishwa pale Jangwani.
 
I am very happy that we don't mean what you say, and you don't say what you mean, the vice versa of that you are dead brain
 
Labda kwa hii record aliyoiweka kwa kusafiri safiri nje ya nchi, sidhani kama kuna raisi atafanikiwa kuja kuivunja
 
Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.

Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.

Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.[/QUOTEunampa credit asiyostahili. shule alijenga lowassa. tanngia ameondoka lowassa hamna kinachoendelea

]
 
Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.

Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.

Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.

Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.

Nitajie shule moja katika hizo unazozisema ambayo ina matokeo mazuri kuliko shule za makanisa... hivi leo makanisa yenye vyuo vikuu (RC, Lutheran, Anglican and SDA) wakisema kama sio mkristo (wa dhehebu lolote lile) hupati udahili katika vyuo vyao... hivi ni vijana wangapi (wasio wakristo) ambao wangekosa nafasi katika vyuo hivyo.. au leo lingetolewa tamko hilo ni vijana wangapi wasio wakristo wangefutiwa udahili wao katika vyuo hivyo... ACHA UDINI KAKA! wakati wengine wana invest katika ELIMU & AFYA wengine walikuwa wana invest katika ujenzi wa MADRASA na MISIKITI... ndio maana Mwalimu alitaifisha shule za makanisa ili kuwapa nafasi vijana ambao sio wakristo wapate nafasi ya kusoma... tusisahau historia ya tulipotoka...

Nawasilisha...
 
Back
Top Bottom