Kikwete avunja monopoly | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete avunja monopoly

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, May 20, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama kuna kitu kinachofanya nizidi kumpenda na kumthamini Kikwete na nna uhakika ni hicho-hicho kinamfanya azidi kuchukiwa na wengine ni pale alipoweza kuutafuna mfupa uliomshinda fisi.

  Jakaya Mrisho Kikwete ameweza kuvunja monopoly ya mashule iliyokuwa ikihodhiwa na Makanisa. Shule nyingi sana za Secondary zilikuwa za Kanisa au ziko chini ya Kanisa kabla ya Kikwete kuchukuwa madaraka, baada ya miaka minne tu tukaona shule nyingi zaidi za Sekondari ni za Serikali kwa mara ya kwanza toka nchi hii iwepo na kabla ya kuwepo.

  Nnampa kila pongezi na hongera kwa hilo na nna uhakika wengi wanamchukia kwa hilo, ni ukweli usiopingika idadi ya 83/17 itashuka kwa kiwango kikubwa tu, baada ya miaka 3 kuanzia sasa idadi hiyo itakuwa 60/40 wanaopenda wapende wasiopenda wasipende.

  Ni ukweli usiopingika hata vyuo vikuu kwa sasa tunaona mabadiliko. Hongera Jakaya Mrisho Kikwete.
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Na hizi za kata na walimu wa voda fasta?
   
 3. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  kwaio kikwete yupo kwa ajili ya kupambana na KANISA TAKATIFU? Basi kama ni ivyo mwambie asijaribu, nadhani ata wewe unajua hakuna aliyewahi pambana na KANISA TAKATIFU akasalimika...

  Kabla hujaenda mbali sana jiulize hizo shule wanaofaulu kwa kiwango kizuri ni akina nani waislam au Wakristo??
   
 4. d

  dmatemu JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 591
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Me sijaelewa huyu ribosome anatuambia nn. Naomba kueleweshwa
   
 5. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwamfano shule gani?
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Minaki.
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,154
  Likes Received: 10,504
  Trophy Points: 280
  Anataka kupambana na kanisa Takatifu Katoliki?...... by the way kumbe ni huyo saburi ribosome ngoja nilale zangu.
   
 8. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Huyu Rib.... ni mtu anayetetea sana JK na watu wake, nadhani na chama pia. mkisoma posts zake mtaona, ni kama yumo humu kumfagilia JK kila mara,

  kwa nini basi hauendi na kwenye magazeti na wasio na kutumia mtandao wakusome pia.

  ulichoongea hapo juu hakieleweki.
   
 9. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu pumzika,kesho jipange upya!
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,154
  Likes Received: 10,504
  Trophy Points: 280
  Kweli naona unajitahidi mkuu Ribosome kupambanua mambo hebu rudisha kumbukumbu zako nyuma kidogo..

  Unaifahamu shule iitwayo Forodhani sasa hivi inaitwaje?!!!!.... Ahaaa ngoja nikusaidie maana kichwa chako kimejaa matope sasa hivi inaitwa St. Joseph Millenium na matokeo yake ya form four unajua yalikuaje ehh..... huo ni mfano mdogo tu..

  Sasa hivi kanisa liko katika harakati za kuirudisha shule ya Pugu iwe under control ya kanisa... got that ... na bado zingine zitarudi tuuu off my eyes.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hukulipenda jibu au msumari umeingia pasipo?
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naona hujui kuwa Forodhani ilikuwa St. Joseph kabla ya kuwa Forodhani.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe ulitaka nikufagilie wewe? umefanya nini zaidi cha kufagiliwa? Kikwete kajenga shule za Sekondari zaidi ya 6000 katika kipindi chake cha miaka 6. Ni zaidi ya shule zote za Sekondari zilizokuwepo kabla ya yeye kuwa madarakani, Jee, ni dogo hilo?
   
 14. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nimeskitika kuona mh kama wewe unatema povu.ulicho kisema unauakika nacho na ujui utendalo!
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Umekubali umekataa?
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  unalazimisha hoja
   
 17. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ribosome una bahati mbaya sana kwamba hujui chochote kinachoendelea katika nchi hii na unakurupuka tu. Wala hujui kwamba kilichowezesha mafanikio makubwa ya shule za serikali kuonekana nyingi kushinda zile za binafsi na za makanisa ni mipango madhubuti ya serikali ya awamu ya tatu.

  Ninasikitika kwamba pamoja na plan nzuri ambazo serikali ya awamu ya tatu ilikuwa nayo dhidi ya PEDP na SEDP, bado Kikwete ameshindwa kuimplement kwa usahihi, ilihali bajeti ya kuendeshea mipango hiyo ilikuwa tayari imeshatengwa. Ni aibu kubwa kwa mtu mwenye akili timamu kusimama na kusifia mafanikio haya kuwa ni matunda ya Kikwete.

  Na zaidi ya yote nataka nikuhakikishie kwamba tangu kikwete ameingia madarakani hajafanikiwa kuchukua shule yoyote kutoka kanisani, badala yake nyingi zilizokuwa serikalini zimerudi kanisani.

  NItaanza kukupa mifano:
  Shule ya Msingi Mdete Njombe ilirudishwa kanisani, shule ya sekondari Rugambwa-Kagera ipo mbioni kurudishwa kanisani, shule ya sekondary ya Mazengo, imerudishwa kanisani, shule ya sekondary ya Minaki inarudishwa kanisani ili kuibadilisha kuwa chuo kikuu na nyingine nyingi ikiwemo Njombe secondary inayokwenda kuwa chuo kikuu kishiriki cha tumaini. Sasa una lipi la kumsifia Kikwete.

  Nakusikitikia kwa kuwa huna unalolifahamu kuhusu kinachoendelea nchini.
   
 18. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Unamaana kwamba pesa zakujenga izi shule zimetoka mfukoni mwake?na shule unazozisema ni izi za kata ambazo tumezijenga kwa michango yetu wenyewe!
   
 19. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mkuu ma DC wameishateuliwa au unafukuzia zile nafasi za viti maalumu zilizobakia?
   
 20. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  na wewe mbona ni kinyume chake lakin huombi waungwana tukushangae!
   
Loading...