Dongee kimewaumaaa haloooo
Mwalimu Nyerere alichelewesha uhuru wetu ili nchi nyingine zijikombolewe, alijenga chuo kikuu cha dar salaam, amejenga mashule mengi sana,hivi mbona hakupewa hata cheti!
Ilikuwa ni wajibu wake
haiwezekani kila kitu kumpongeza wakati ni wajibu wake aliokabidhiwa na wananchi.
Nelsoni mandela mbona siyo dkt,
Kwame Mkuruma,
Jomo Kenyata,
Gadaff, clintoni,
Tufike mahali tuache haya mambo ya kipuuzi.
Haijawahi kutokea wananchi kuwa na hali ngumu kama kipindi cha jk leo mnampa tuzo.
mpaka amalize mda wake atakuwa na vyeti zaidi ya 100
Hiyo bado,sijui nani atampa ya utalii mana atakuwa kama amemtukanaHivi alishapata ile degree ama cheti cha utalii?
Dongee kimewaumaaa haloooo
Chuo kikuu cha tiba na sayansi muhimbili kimemtunuku cheti Rais Jakaya Mrisho kikwete kwa kutambua mchango wake katika sekta ya afya!
Ni kweli anamejitahidi kiasi lakini siungi mkono kila mara kumrundikia kiongozi vyeti kila mara!
Huyo ni Raisi anayofanya ni wajibu wake, na anatumia kodi zetu kuboresha sekta ya afya sasa hivyo vyeti vya nini
nchii hii tunakoelekea ni kuja kuwa na Raisi profesa asiye na elimu hiyo!