Naamini JK yuko fit, maana kama ni kweli anamaradhi, basi yataonekana tuu, maana mficha maradhi.....
Unataka maradhi yake yaonekane kwa vipi zaidi ya kuanguka anguka hadharani? Wameficha ficha hayo maradhi sasa yanawaumbua!! Mtu fiti huwezi kukatisha mkutano na ukashuka jukwaani bila kuaga.