Elections 2010 Kikwete ashuka ghafla kutoka jukwaani bila kuaga

Kuhusu uwanja wa ndege, Kikwete alisema utajengwa Serengeti ili wageni waweze kutua.
"Tuliahidi na tutajenga uwanja wa ndege ili wageni waweze kutua hapa," alisema Kikwete bila kufafanua ujenzi huo utaanza lini.

Ni dhahiri kuwa huo uwanja wa ndege sio kwa manufaa ya wanaserengeti!! Wageni ndio muhimu na ndio maana wanajengewa uwanja.

Wakazi wa Serengeti wanahitaji barabara za lami: Mugumu-Musoma, Mugumu-Bunda, Mugumu-Tarime & Mugumu-Arusha.

Zaidi ya barabara, mugumu wanahitaji huduma za maji na umeme kusambazwa vijijini, tofauti na sasa ambapo huduma za maji ya bomba na umeme vinapatikana mugumu mjini tu.

Kwa hali hii ccm isitarajie ushindi Serengeti mwaka huu, wanaserengeti tutawaonyesha tundu la kutokea kuanzia urais, ubunge hadi madiwani.
 
jamani watanzania pigeni kura kwa makini. Embu tizama mtu anautubia utafikiri ndio katoka usingizini yupo bafuni anapiga mswaki uso umekujamana. MZIMAKWELI?

kikwete.jpg
 
Duh, pesa zetu jamani zinapotea. Hivi huyu kikwete ni mzalendo? Mbona anang'ang'ania hivo madaraka? Pesa zetu kishakula nyingi tu, lakini hataki ku-give up. Ngoja akomae, imebakia safari ya kuanguka na kupitiliza kwa Mungu. Na Mungu kishamuona huyu kuwa si mzalendo hata kidogo.
 
Kina Makamba na Kinana wanasema JK siyo mgonjwa ili wafanikishe matakwa yao wanasema heri punda afe lazima mzigo wa boss ufike.

Punda afe?
Duh!
Je boss ni nani? Rostam na Lowassa?
----
N.B:
Elimu na Afya bure INAWEZEKANA!
Pesa itapatikana kutoka kwa makampuni ya madini (yataanza kulipa KODI STAHIKI),
Pia zipo BILIONI 500 ambazo ni allowance za wakubwa.
Na vyanzo vingine vingi tuu...
 
Inawezekana majini ya shehe YAHYA yalimtoroka Ghafla akaamua kulala mbele maana ulinzi haukwepo tena

Hayajamtoroka, yalimtorosha!!!! yamemwambia kuna wachawi wa Chadema ondoka kabla hawajakuanusha!!! kwi kwi kwiiiiii!!!!
 
Hawa mwananchi hopeless kabisa na wataendelea kupata vichapo kila kukicha!
 
Ni dhahiri kuwa huo uwanja wa ndege sio kwa manufaa ya wanaserengeti!! Wageni ndio muhimu na ndio maana wanajengewa uwanja.

Wakazi wa Serengeti wanahitaji barabara za lami: Mugumu-Musoma, Mugumu-Bunda, Mugumu-Tarime & Mugumu-Arusha.

Zaidi ya barabara, mugumu wanahitaji huduma za maji na umeme kusambazwa vijijini, tofauti na sasa ambapo huduma za maji ya bomba na umeme vinapatikana mugumu mjini tu.

Kwa hali hii ccm isitarajie ushindi Serengeti mwaka huu, wanaserengeti tutawaonyesha tundu la kutokea kuanzia urais, ubunge hadi madiwani.

Na kikwete alitakiwa kujua wageni na watalii wa kweli wanapenda ku enjoya mazingira wanayotembea zaidi kwa kutumia usafiri wa barabara asingesema haya. Hivi kwani serengeti hakuna tuviwanja twa ndege nyepesi nyepesi.?
 
ulinzi mkali wa yale majini ya msanii Sheikh Yahya uliona yuko hatarini pale jukwaani na hivyo kumchukua mzobemzobe na hivyo kushindwa hata kuaga....he is not fit to be URT's president for another 5 years...habari ndiyo hiyoooooo
 
Big Noooo mkuu, ameanguka zaidi ya mara tatu hadharani na bado unauliza...........wakati mkia unauona?

...kitendo cha kukimbia jukwaaani bila kuaga......wachambuzi tunachukulia kuwa afya yake bado haijatulia...hasa ukizingatia hali ya kudhoofu aliyokuwa anaonekana kuwa nayo.......NI WAZI KUWA BAAADA YA KUINGIA KWENYE GARI ALIZIRAI....NA KUNA UWEZEKANO MKUBWA KUWA ALIONA DALILI KAMA YA PALE JANGWANI....SEMA ALIBAKI NA NGUVU KIDOGO YA KUKIMBIA....DU!!
 
Huo ni uzushi mtupu ,umbea na dalili za wazi za wapinzani kuishiwa hoja kikwete anapeta na akubalika na anachanja mbuga bila wasiwasi, tazama kule Mkoa wa Njombe Kata ya Lupembe amevunja rekodi baada ya Baba wa Taifa na kurejesha matumaini kwa wananjombe. Jee unajua maana ya neno Kikwete katika lugha ya kibena ???

chagua Kikwete 31 Oktoba 2010
 
...kiteSEMA ALIBAKI NA NGUVU KIDOGO YA KUKIMBIA....DU!!

Mwezi ule wa kufunga kwa waislamu tuliambiwa kwamba swaumu imemzidia na kukawa na rumours kwamba alikuwa na sukari kidogo mwilini kutokana na kukaa masaa mengi bila mlo. Sasa wako kimya kabisa hawasemi chochote kuhusu hali ya afya yake ambayo inaonyesha dhahiri kwamba hayuko fit. Mficha maradhi....
 
Kikwete alirejea kauli yake ambayo amekuwa akiitoa mara kwa mara kwa wanafunzi wanaopata mimba akiwaambia wakazi wa mkoa huo kuwa wanaoambukizwa Ukimwi wanaupata kwa ajili ya tamaa na viherehere vyao.
Kama rais wa nchi anaamini wenye Ukimwi wanajitakia kwa ajili ya tamaa na vuherehere vyao, kweli anaweza kutafuta solution ya swala hili kiutaalam..
 
Mjenga hoja nakupongeza sana, watanzania wengi hawana nidhamu kama hata Rais wako humueshimu kwa maneno na matendo yako automatically wazazi wako hutiwaheshimu na hata Mungu wako hutampa utukufu maana Mungu atawakataa na hivyo wanakuwa wenyeji wa kuzimu , maana CCM imetenda mema yote tazama ilani yake , ebu fikiria jinsi kiongonzi wao anavyojituma sijapata kuona katika Afrika , zaidi ya Kikwete mnataka nani tena

Chagua Kikwete 31 Octoba 2010
 
Chagua CHADEMA achana na chama filisi cha mafisadi kinachowalinda mafisadi kwa hali na mali.
 
Mjenga hoja nakupongeza sana, watanzania wengi hawana nidhamu kama hata Rais wako humueshimu kwa maneno na matendo yako automatically wazazi wako hutiwaheshimu na hata Mungu wako hutampa utukufu maana Mungu atawakataa na hivyo wanakuwa wenyeji wa kuzimu , maana CCM imetenda mema yote tazama ilani yake , ebu fikiria jinsi kiongonzi wao anavyojituma sijapata kuona katika Afrika , zaidi ya Kikwete mnataka nani tena

Chagua Kikwete 31 Octoba 2010
Mwaka huu mtalia sana mlizoea kucheza na timu za daraja la nne na kushangilia ushindi bila kujua kiwango chenu kinashuka sasa mmekutana na Real Madrid original.
 
Inawezekana alianguka kwani ile ya jangwani haikuandikwa sasa hii itakuwa lugha ya kiandishi
wanapunguza makali kama alishuka ghafla alikwenda wapi?
 
Back
Top Bottom