Kikwete apoza mashirika ya dini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete apoza mashirika ya dini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fangfangjt, Mar 20, 2011.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  RAIS KIKWETE ATANGAZA SERIKALI KUTOA RUZUKU YA SH 60B KWA HOSPITAL ZA MASHIRIKA YA DINI - source TBC1 news bar
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siku zote serikali inatoa ruzuku hasa kwa ajili ya kulipa wafanyakazi kwenye hospitali za bugando, kcmc n.k labda kwa sasa wameongeza tu kiasi. Pamoja na hayo sidhani kama serikali inafanya hivyo kuwapoza viongozi wa dini bali serikali inawajibika kufanya hivyo kutokana na ukweli kwamba hospitali hizo zinasaidia sana katika sekta ya afya.
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siku zote serikali inatoa ruzuku hasa kwa ajili ya kulipa wafanyakazi kwenye hospitali za bugando, kcmc n.k labda kwa sasa wameongeza tu kiasi. Pamoja na hayo sidhani kama serikali inafanya hivyo kuwapoza viongozi wa dini bali serikali inawajibika kufanya hivyo kutokana na ukweli kwamba hospitali hizo zinasaidia sana katika sekta ya afya.
   
 4. mjeledi

  mjeledi Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kufanya hivyo ni kupoza au ndio kutimiza wajibu wake kama Rais wa nchi?
  :juggle:
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kwani jukumu la kutoa huduma za jamii (afya, elimu n.k.) ni la nani?

  Mashirika ya dini au serikali?

  Na kama utakuwa hujui kuna MoU ambayo serikali kupitia wizara inaingia ubia na hospital zinazomilikiwa na haya mashirika. Na katika hiyo inatoa subsidy kwenye dawa, vifaa and kusaidia kulipa (au kuajiri) wafanyakazi.
   
 6. k

  kiluwiluwi Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thread ya kishabiki zaidi.
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  naunga mkono
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  rais ametoa ruzuku kwa ajili ya kusaidia hospitali za mashirika ya dini ili wananchi wapate huduma za afya.kuna dhambi gani imefanyika hapo hadi kuleta thread inayosema ame 'poza' mashirika ya dini.
   
 9. m

  msosholisti Member

  #9
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jukumu la serikali, But how much-60 bill- thanks to JK-
   
 10. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,801
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kwa sheria ipi ndani ya Katiba yetu......................?!
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  "you're either with us, or against us"
   
 12. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huko ni kjikosha tu hakuna lolote, serikal ya sasa haikubalik jaman, labda ikaogeshwe bahari pacific kwa muda wa miaka 5, huduma za afya ni lazima zisimamiwe na serikal ikiwa ni pamoja nakutoa fedha kama alivyoahidi KIKWETE......
   
 13. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Hiyo nayo habari?? Au kaamua kumake it publick kwani huwa hiyo ruzuku ipo siku zote na hamna aja ya prezo kuipublicize... Labda ndo hoja inapojengeka kwamba anajikomba baada ya kuharibu
   
Loading...