Si kweli, mtu hawezi kuvunjwa mkono na kulazimishwa kusaini matokeo.

Mkono kavunjwa, kasaini na mguu?
Katani A Katani. Alipigwa na polisi hadi kuvunjwa mkono akilazimishwa kusaini matokeo ambayo ni wazi yalibadilishwa.
mkuu kwani ana mkono mmoja? Acha ubishi bana.Si kweli, mtu hawezi kuvunjwa mkono na kulazimishwa kusaini matokeo.

Mkono kavunjwa, kasaini na mguu?

<br / halafu ikawaje alisain au walimsainia?? Shame on themAlivunjwa mkono baada ya kukataa kusaini matokeo, habari isiyo rasmi ni kuwa walikuwa na lengo la kummaliza. Alilazwa hospitali ya wilaya Tandahimba baadae akaletwa Muhimbili kwa Matibabu zaidi!

Si kweli, mtu hawezi kuvunjwa mkono na kulazimishwa kusaini matokeo.

Mkono kavunjwa, kasaini na mguu?
Kilichotokea ni kichekesho kwani hata aliyeshinda alikimbia na hakusaini, amekuja kusaini siku kadhaa baadae huyu wa upinzani mpaka leo hajasaini na kesi iko mahakamani inapigwa danadana tu!
<br / halafu ikawaje alisain au walimsainia?? Shame on them
Walikuwepo baadhi ya waandishi ambao tuliambiwa ni wa Uhuru na habari leo, Pia Rashidi Kanga yule wa Radio one, Aliripoti taarifa za Tandahimba wakati akiwa Masasi, Yule ndo alikuwa mpotoshaji mkubwa kabisa!Gazeti, lile tukio la mbunge kuvunjwa mkono lilikuwa maarufu sana mkoa mzima lilikuwa linafahamika, hata jinsi ushindi ulivyonyang'anywa ni jambo linalofahamika. Ina maana zile habari hazikutoka kwenye vyombo vya habari? Mbona naona kama kuna watu wanaiona kama habari ngeni kabisa?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Rais wa Tanzania J.M. Kikwete alijikuta anapata wakati mgumu pale alipokuwa anakatisha katika vijiji mbalimbali vya wilaya ya Tandahimba. Mheshimiwa huyo alijikuta akipita kwa kasi katika baadhi ya vijiji bila kusimama na wala kupunga mkono kama ilivyo kawaida baada ya kukuta mabango ambayo wananchi walikuwa wanadai kurudishwa kwa mbunge wao aliyechakachuliwa. "TUNAMTAKA MBUNGE WETU ALIYECHAKACHULIWA", "HATUMTAKI NDONDOCHA WENU MLIETUWEKEA" "TUNATAKA KESI YA KATANI IISHE" Hivyo ndivyo yalivyosomeka baadhi ya mabango huku bendera za upinzani zikipamba bara bara za vijiji hivyo.
Bendera za vyama nilizobahatika kuziona ni CUF, CHADEMA, NCCR na TLP. Kikwete alipita maeneo hayo kwa lengo la kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura lakini hakufanya hivyo kutokana na mapokezi hayo ya aina yake!

Safi kama wanaMtwara wameanza kuonyesha mabadiliko
haya bwana mkuu haina tabu.Ha ha ha haaaa, umenichekesha sana mkuu lakini siko tayari kujibu swali lako!