Kikwete apokelewa kwa mabango na bendera za upinzani!

Jamaa alijisikia vibaya sana,nadhani tabasam lake aliendanalo kwake magogoni.hana jipya.peopleiz power
 
<br />
<br />

AFADHALI WAMELIONA HILO,..MAANA HAWA WATU WA NTWALA WANAKUWAGA KAMA WALI CHEMSHIWA BENDERA YA JEMBE NA NYUNDO WAKANYWA MAJI YAKE. KHAAAAA!NA WANAVYOICHAKAKA CHULIWAGA KOROSHO ZAO WALA HAWAJIELEWAGI!!! NTU ANA HEKA KADHAA ZA SHAMBA LA KOROSHO LAKINI UTAKUTA NI MASKINI WA KUTUPWA

Labda Mtwara vijijini mama Hawa Ghasia anakubalika lakini maeneo yaliyobakia CCM haitakiwi na uchakachuaji haujaanza jana wala leo. Uchaguzi wa mwaka 2000 mbunge wa NCCR Ndg Othman alishinda lakini akafanyiwa mizengwe!
 
Ndiyo maana wanasita kutupa katiba mpya. Wanajua ndo watakizika chama chao kwa mikono yao kabisaa.
 
picha plzzzzz! nataka kuona JK alivyokuwa amekaza uso..coz akikaza sura anakuwa mrembo..eti ndo kakasirika
 
kuwashukuru kumpigia kura au kukaa kimya alipochakachua kura na anaendelea kutufunga mikanda zaidi ya ile ya 1978,nampa pole najua anaumia sana kwani alikuwa anapendwa na watu wengi kabla hajabadilika kama kinyonga
 
Back
Top Bottom