Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Mliopo ukumbini tujulisheni tafadhali, hivi yule jamaa mwakilishi wa TADEA amekabidhi kitu gani pale mezani kwa Kikwete?
 
ivi mkuu invisible...wameweke technologia ya aina yeyeto hapo? Kama slideshow, video, nk?
 
Kiujumla, kwa wale ambao hampo hapa Dodoma, au mnaangalia TVs, Mkutano huu unaonekana umepooza sana - kila mjumbe yupo ana-contemplate zaidi yajayo kuliko kinachoendelea hapa ndani.

Mh Mkuchika amemaliza hotuba yake fupi - na bonge fleva inapiga kwenye background
 
ivi mkuu invisible...wameweke technologia ya aina yeyeto hapo? Kama slideshow, video, nk?
Mkuu,

HAKUNA!

Mimi hapa nacheka tu kuwaona kina Maina Owino wakijigamba kuwa ni CCM in Diaspora na huku wakijigamba na mambo ya Dual Citizenship. This' boring for sure. Hivi Diaspora inamaanisha UK na US peke yake? Unaweza kutukana bure...

Kiujumla wajumbe wamepoa SANA kuliko nilivyotarajia.

SASA mkutano ndio unazinduliwa rasmi, anaongea Makamba na anataka kumkaribisha JK... Subirini madongo!
 
Imefika wakati wa kuwaandama viongozi wa upinzani ambao ni mapandikizi tu, si wa kuonea aibu tena!

Na nadhani imefika wakati ambao baadhi ya wana CCM wanatakiwa waache kufurahia nyimbo tu na kukatiwa viuno walifikirie taifa zaidi.

Ukitaka kujua hali ni mbaya na tunahitaji kujiepusha na ushabiki usokuwa na maana
basi angalia hapa: JamiiForums|TMF Blogs hasa kwenye hoja hii kutoka kwenye vijiji vyetu ambapo watanzania wapo hali mbaya sana:

Pres. Kikwete’s “Maisha bora kwa kila Mtanzania”

Hii ndiyo hali halisi ya maisha ya watanzania asilimia kubwa... Hii kuburudishwa na nyimbo

Mkuu,nilipoona live coverage yako ya mkutano wa CCM nilianza kwanza kupandwa na hasira na sikuelewa kwa nini unapoteza muda wako kuelezea mkunano ambao kimsingi hauna maana yoyote katika maisha ya kila siku ya Mtanzania.

Kati ya yote ambayo yameandikwa kwenye hii thread, hii post yako imenifanya sasa nielewe kwa nini walau tunaweza kukubaliana na huu upotevu wa muda na resource wa kufuatilia mikutano butu kama huu.

DC
 
Mkuu,

HAKUNA!

Mimi hapa nacheka tu kuwaona kina Maina Owino wakijigamba kuwa ni CCM in Diaspora na huku wakijigamba na mambo ya Dual Citizenship. This' boring for sure. Hivi Diaspora inamaanisha UK na US peke yake? Unaweza kutukana bure...

Kiujumla wajumbe wamepoa SANA kuliko nilivyotarajia.

SASA mkutano ndio unazinduliwa rasmi, anaongea Makamba na anataka kumkaribisha JK... Subirini madongo!

Mimi ningependa kujua tu hizi pesa zimetoka wapi?
 
Pana mkanganyiko kidogo! Inaonekana kama "MULTIMEDIA FAILURE" - Naona baadhi ya SPEAKERS au Microphone zinashindwa kufanya kazi!
 
Mkuu nipo ndani ya ukumbi, si unajua sisi wadau haswa... :cool:

Dokii amejazia kwelikweli... Anasifia KIKWETE ANAWEZAAAA!

PR hiyo, tusije shangaa kaukwaa ubunge wa viti maluum, ila kama anaimba kwa mbwembwe kama kwenye interview hii hapa chini basi hamkani atapata vimemo leo hii hii toka kwa wapambe
 
Last edited by a moderator:
Hivi shughuli inayofanyika dodoma ni ya kitaifa?? au ya kichama?? Kama ni ya kichama TBC1, Star TV na RObot wamenunuliwa na CCM?
Naomba mwongozo
 
Hivi shughuli inayofanyika dodoma ni ya kitaifa?? au ya kichama?? Kama ni ya kichama TBC1, Star TV na RObot wamenunuliwa na CCM?
Naomba mwongozo
nimeona makanda umepita hapa TBC1, ITV, Ch10 na StarTV tunawakilisha. hapo swali kunkichwa mheshimiwa.
 
hii ligha ya kuwaita vyama pinzani mavuvuzela ilhali nao ni moja ya wageni waalikwa imekaaje waheshimiwa? naomba msaada
 
Back
Top Bottom