Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Wewe kweli ni malaria sugu, Ivi hujaona kule wanakotupeleka? Au na wewe ni fisadi maana wimbo huu unawafaa sana mafisadi wanaolindwa na watu hawa. Ila atakapokuja mtu mwingine ndipo tutakapojua kuwa Hao jamaa walikuwa ni akina nani.
Hawa wakishinda ni msoto kwa wafanyakazi hadi mwisho.
 
Unapodai "kushinda sote" una maana gani? Wafanyakazi wameambiwa wakae miaka 8 hawataongezewa mishahara, pia kura zao hazihitaji, huo ndio "ushindi" unaodai?
 
Yah, just learned kwamba MS unafanya utafiti kujua hali ya kisiasa kwa mkuu ipoje? Naona unataka kujua ni wangapi wanamuunga mkono JK na wangapi wanampinga, na zaidi ya yote nimegundua kwamba unajaribu kuanzisha maada tata ili kuangalia watu wanawaza nini kuhusu Kikwete na Dr. Slaa. Nafikiri utafiti wako ni mzuri, na ni vizuri utupe matokeo ya utafiti huu mapema kabla ya uchaguzi na uutangaze magazetini kama REDET wanavyofanya. Naamini matokeo ya utafiti wako yatasaidia sana kumpandisha Dr. Slaa kwenye kampeni zake. Maana ni dhahiri kwamba tangu post zako za kampeni zianze kuwekwa hapa zimeungwa mkono na Tumain pekee. Kwa hiyo tangaza matokeo kwenye vyombo vya habari kwamba kati ya wanaJF zaidi ya 50000 waliowahi kujibu post zako, ni mmoja tu aliyekuwa against Dr Slaa.
 
Back
Top Bottom