Kikwete aogopa kwenda Mwanza

LUINASIA

New Member
Apr 12, 2010
4
0
Habari za uhakika kutoka Wizara husika ya Maji zinasema JK ameogopa kwenda Mwanza kuwa mgeni rasmi kilele cha wiki ya Maji tarehe 22. Badala yake wakapendekeza awakilishwe na Makamu wa Raisi. Inasemekana kuwa JK analiogopa jiji la Mwanza kwa sasa kama ukoma na amesitisha kwa muda ujenzi wa makazi yake ya kupumzikia atakapostaafu huko Mwanza.
 

na maviwanda yake ya sayona tutayaitaifisha yote wameimaliza nchi kwa ufisadi sasa wanaogopa kun'golewa
 

kila mkoa ana nyumba ya kupumzika au?
Kwa nini asimfuate mwenzake Mkapa huko Lushoto?
 
Siyo Mwanza Tu Kwa kifupi hakuna sehemu anayokubalika labda kwa wakwere tu, nako nina mashaka pia!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…