Kikwete anazeeka haraka, kulikoni?

Status
Not open for further replies.
Hivi slaa na jk nani anaonekana kizee
Mkuu kwa nini usianzishe thread nyingine yenye kichwa cha habari kama ulivyoweka hapo juu!Hoja ya sasa ni kwa ni Kikwete anazeeka haraka,kulikoni?au lengo lako ni kuvuruga mjadala huu?
 
huoni mama K.Banda anavyomuendesha ka gari bovu,alikuwa akiwapromoti wanawake sasa kakutana naye ...itafahamika tu!
 
Mkuu kwa nini usianzishe thread nyingine yenye kichwa cha habari kama ulivyoweka hapo juu!Hoja ya sasa ni kwa ni Kikwete anazeeka haraka,kulikoni?au lengo lako ni kuvuruga mjadala huu?

hapana hoja yangu inahusika sana na huu mjadala...
 
JF inamzeesha.Akiingia humu kusoma comment zote zinampinga ni moja au mbili tuu zinamtetea nyingine zote zinamletea msongo wa mawazo
 
hapana hoja yangu inahusika sana na huu mjadala...

Dr Slaa umri umekwenda sana...ngoja nione kama hii thread nayo itapigiwa mstari kama ile ya Dr Slaa na suti yake kubwa.
 
anafikiri sana mara uamsho mara jumuiya,mara maandamano kila siku,mara ziwa nyasa,mara wana mtandao! he ! hata kama ni wewe kwa nini usizeeke?

Una uhakika kam yeye ana muda wa kupoteza kufikiria hayo?
 
Ushuhuda mzuri wa Wakuu wa Mkoa kuwa Makada wa CCM. Hana sababu za kufanya kazi za serikali kwa taratibu hizi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…