Kikwete anamwambia nini Rose Kamili Slaa?

Kikwete anamwambia nini Rose Kamili Slaa?

Kikwete: How is it with your ex now?
Rose: I left him for good.
KIkwete: Oh really!?, but Its alright ,you deserve something better not that Old Ba***
Rose: Yeah i know , but i think you look really cute!
Kikwete: Teh teh, lets keep this between the two of us, okay.

... But Magembe seems to take notice of every thing, so it may not be between two of them !
 
Duh, Dr hakubahatisha, sasa hapo mzee nadhani anamwambia, next time wewe gombea tu CCM nitakupitisha
 
Ni kweli kabisa Raisi wetu anajua kuvaa, hata akiwa casual anatoka bomba sana. Huwezi kumfananisha kabisa na M7 au kibaki. Safisana raisi wangu, kwa hilo upo juu

Wabongo bwana ndo maana hatuna maendeleo...Mtu unasifia mavazi badala ya kusifia vision ya kiongozi. Ndo maana tuna uwezo mdogo saana wa kufikiri...
 
Ndi maana Rose alikuwa amechangamka sana bungeni wakati anawakilisha kusoma hojaya kambi ya upinzani. Nadhani aliomba aome yeye labda baada ya kuambiwa kwamba asiwe na mashaka maana jamaa anaruhusiwa kuoa hadi wanne.
A wise man is superior to any insults which can be put upon him, and the best reply to unseemly behavior is patience and moderation. Rose we tulia, kuwa na subira. Nadhani hivi karibunni tutawona walioko magogoni na wanaotaka kwenda magogoni, wakipelekana mahakama kwa kamchezo kale kale. Dr na Bi Sa'ma MPO? Napita
Read
 
Bora uwe mwanamke lakini km ni dume utakuwa mvumilivu kwa yale maumivu na km hujaanza kuvumilia baada utakuwa mvumilivu hadi uzoee. Eti rais wetu suti zinampendeza! Yani ndo ulichoona cha maana

Ahaa..kwakifupi rais atakiwi kuonekana kama celebrity,na ataukingalia marais wengi suti zao ni za rangi ya dark blue au black,Obama,Putin,Cameron...hawana muda wakufanya shopping na kujiremba...na wala hawabadili badili,mara leo njano,kesho gray,mara white,au brown....masuti wanayovaa ni hayo hayo tu hwajipodoi kama warembo...nilikuwa nataka nieleweke hiyo
 
hivi kweli mke wako ni kibosile serikalini halafu hiki kijamaa kinatembelea sehemu kinamshika hivyo my wife wako atatoka eneo hilo bila kumpigia kelele za mwizi!!
 
Kama nilivyokwambia, ntaongea na Slaa muyamalize kiutu uzima, haifai mnavyofanya mmeshakuwa watu wazima, msiwape watu faida, nawe tafuta dogo wakukuliwaza.

Mhhhhh... wa kumpigia debe mtu mwingine yuko wapi huyo anaetembea z..u wazi,sijui?!!!!!
 
Anamwambia, 'mpotezee Dk. Cha msingi uko kwenye system, hujaridhika?'
 
attachment.php
ukichukua point ya mwisho toka katika post ya mkuu@zomba ukachanganya na tabasamu la kizushi la huyu mheshimiwa aliye ubavu wa kushoto wa JK,lazima utacheka sana.hahahahaha
 
Kwa jinsi nimjuavyo Kikwete na alivyomkumbatia, anaweza kumwambia chochote. Si unajua tena our handsome president.
 
Ina maana mmesahau kuwa huwa wanaweza pendeza kwa suti za ku--gwa.
 
Rais wetu suti zinampendeza,hapo anaoneka kama celebrity....suti kali,bila shaka ni kodrai ya ukweli

Ahaa..kwa kifupi rais hatakiwi kuonekana kama celebrity,na ataukingalia marais wengi suti zao ni za rangi ya dark blue au black,Obama,Putin,Cameron...hawana muda wakufanya shopping na kujiremba...na wala hawabadili badili,mara leo njano,kesho gray,mara white,au brown....masuti wanayovaa ni hayo hayo tu hwajipodoi kama warembo...nilikuwa nataka nieleweke hiyo

Chifu, viongozi wa Afrika wengi wanaishi, wanavaa, wanatembea na wanatanua kama macelebrity wa pale Hollywood!

Viongozi wanaopenda nao wavae Gucci, Versace, Pierre Cardin, Giorgio Armani, Tom Ford, Michael Kors, Valentino n.k.
Viongozi wanaopenda kuendeshwa kwenye brand new BMW X5, Mercedes S and G classes;
mercedes-s-class-w221-5-2.jpg

BMW_X5.jpg

Mercedes_G-Klasse_Edition_Pur_20090808_front.JPG

viongozi wanaopenda kupanda private jets kucruise around the world;
000012.jpg

airdeck_530x290.jpg

private-jet-460_787479c.jpg

viongozi wanaopenda kulala Four Seasons hotel; viongozi wanaopenda ku hang around na kuchill majuu katika kukutana na macelebrities wenzao.

SBT_003_375x300.jpg


fourseasons-serengeti9.jpg


SBT_004_375x300.jpg


Watu wa politcal science sijui wanafanya nini katika hili: wanapaswa kuandika vitabu kabisa juu ya celebrityhood, politics, politicians and development in Tanzania/Africa.
 
hapana...nadhani hapo anaongea kiume....kuwa haya mambo ya chumbani usiyapeleke kibarazani...futa kesi mama mbona wote watu wazima?
 
vipi hapa hanang mambo yanaendaje>mzee anakatizakatiza huku au yupo busy kulea kichanga?
 
Back
Top Bottom