Kikwete anamuogopa Andrew Chenge?


Acha kuandika upuuzi wewe andika ukiweka na ushahidi sio malipo ya buku saba yakufanye ushirikishe m***lio kwa kila bandiko kuliko kutumia akili.
 
Zimewauma kodi za pombe kupandishwa, semeni ukweli.
 
Bariadi sasa ni mkoa kwa taarifa tu,na miundo mbinu inawekwa,barabara,umeme,na hata maji ya victoria yatafika
 
Hakuna kinacho tuuma ulisha sikia tunalalamika, wanyaji ndiyo wachangiaji wakubwa wa kodi wewe kama hupigi mambo yetu tuache tu
 
BBC wants you to pay TV
licence fee even if you
don’t own a set, as shows
go on iPlayer for longer
Lord Hall, the BBC’s director-
general, wants to extend the
£145.50 annual fee in response
to the growing popularity of
iPlayer
Picture: GEOFF PUGH
Twitter Facebook Share
BBC’s director-general looks to
extend the £145.50 annual TV
licence fee in response to
iPlayer's growing popularity
Householders could be required
to pay the television licence fee
even if they do not own a
television, under proposals being
discussed by the BBC.
Lord Hall, the BBC’s director-
general, wants to extend the
£145.50 annual fee in response
to the growing popularity of
iPlayer, which enables viewers to
watch programmes on home
computers, mobile phones and
tablet devices.
 
Huo uoga unaupimaje??? Chenge hayuko chini ya mamlaka ya rais hawezi mfanya chochote angekuwa waziri angemtimua alishafanya hivyo sawa huu uoga we unaupimaje??? Je akimuona anammkimbia?

Kweli user name zina ukweli aseeeeeeee!!!!!!!
Kweli delusion
 
Acha kuandika upuuzi wewe andika ukiweka na ushahidi sio malipo ya buku saba yakufanye ushirikishe m***lio kwa kila bandiko kuliko kutumia akili.
sema jingine,watu tuko full nondo bana,haturopoki.
 
Rejea kauli ya Chenge kwamba dollar 1,000.000 ni vijisent maana yake wapo wenye pesa zaidi ya hizo zake lakini hamusemi,tafakari chukua hatua.
 
@The Boss somo kuanzia ukurasa wa 66 wa rasimu hii uone dawa inayopendekezwa kwa wakwepa kodi
 

Attachments

ccm imetunga sheria ya presumptive tax payers makusudi i
li isiwaudhi wapiga kura,wanajua kuwa wanapoteza kodi nyingi kwa hawa watu lakini hawawezi kuwatoza sababu hakuna maendeleo in return.
 
Mziki wa Mh. Chenge muulize hata Spika wa viwango anaujua, ule unga unga mweupe kwenye viti Bungeni - habari ndiyo hiyo. Chenge si wa kuparamia!!
 
Chenge alikuwa mwanasheria mkuu anajua madudu yao yote,ndio maana hatakumvua gamba walishindwa
 
FaizaFoxy said:
Zimeauma kodi za pombe kupandishwa, semeni ukweli.
Pombe 20% ya budget madera,baibui % ngapi?
 
Toka Kikwete awe Rais hawa wamekuwa mabilionea
1. Lowassa
2.Chenge
3.Ngeleja
4.Riziwani
5.Karamgi
6.Maswi na wengineo

why watu walipe kodi zaidi?

Waongeze JAIRO , LUHANJO na msaidizi wa Vasco Dagama MTAWA!!!
 
Sijasema watu waache kulipa kodi, la hasha!
Cha kufanya:
1. Serikali iombe radhi kwa kutumia kodi vibaya
2. Serikali ikusanye kodi kwa yeyote na ifute misamaha yote na kureview sehemu ambazo misamaha ina faida kwa mwananchi
3. Serikali iache kuwaibia wananchi kwa mgongo wa kodi. Kodi zipo nyingi mno kwa mfano mfanyakazi Analipa:
  • PAYE anapolipwa mshahara
  • VAT anaponunua karibia kila kitu
  • EWURA/REA katika umeme/mafuta
  • et al
Kodi lazima ziwe na utaratibu kuepuka double payments kwa baadhi ya makundi.

Na mwisho na kubwa kuliko yote, kodi zitumiwe kama ilivyokusudiwa, yaani kuleta maendeleo.

Kumbuka kodi sio deni ambalo mwancnhi anadaiwa na serikali bali ni pesa ambayo wananchi wanaikusanya kujitatulia matatizo na serikali anakuwa tu "trustee" wa kusimamia wananchi wanalolitaka.

Kinyume na hapo tarajia ukwepaji wa kutosha tu wa kodi!
 
Wanamuogopa Chenge kwasababu kwa kukaa kwake muda mrefu kama Attorney General anajua uchafu mwingi sana wa viongozi wa chama na serikali na hasa uchafu wa mkweree kuanzia jinsi nalivyohusika na ufisadi wa IPTL na mazagazaga yake mengine mengi hivyo wanaogopa wakimuudhi asije akamwaga mboga!!!
 
Zimewauma kodi za pombe kupandishwa, semeni ukweli.

Kutegemea kupata mapato kutoka kwenye kodi za pombe ni kukosa ubunifu; ikitokea hao wanywaji wanaamua kuwa waislam safi na kuacha kugida serikali itapata wapi mapato? Kumbukeni ukimkamua sana ng'ombe mwishowe hatatoa maziwa bali damu!!!
 
Hakuna kinacho tuuma ulisha sikia tunalalamika, wanyaji ndiyo wachangiaji wakubwa wa kodi wewe kama hupigi mambo yetu tuache tu

Waambie hao, watu wameanza kunywa toka enzi hizo na maisha yanaendelea.Watu tunalalamika serikali haina watu weledi wa kupanua wigo wa kukusanya mapato.Pombe watu tutaendelea kunywa na serikali itaendelea tu kuwa na nakisi ya bajeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…