Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,613
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'

Ni kama vile amempuuza?

mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..

Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri

imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?

naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana

wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....
 
ana skandali ya kuiba pepa la necta hadi kufutiwa matokeo huyu....mwigulu kashfa ya umri na gpa,zitto ananuka rushwa na usaliti,membe hana mvuto,migiro is unpopular,yani watu wa jk wote hawauziki.!!!
 
January Makamba the way I perceive him to be eloquent. He is more less like his father Makamba, excellent at playing with words, but he has nothing substantial to offer to the citizen of this country!

He is a one term MP but ambitious. He needs to go back to his constituency to first and foremost get re-elected to prove his political might at constituency level running for the highest office in the land.
 
pipe dreams
Mwinyi, Mkapa, Kikwete .... wote walikuwa Foreign Affairs.
Sijui kuhusu Membe ila mtu wa Foreign Affairs atakuwa mgombea.

This is not a dream, it's a historical fact. CCM hawatashindwa ku-deliver 51%.
 
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'

Ni kama vile amempuuza?

mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..

Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri

imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?

naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana

wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....

You are probably reading too much into it.
 
Hajawahi kutia mguu FA katika wadhifa wowote ule, aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya ndani na kufuatia mauaji yaliyotokea Shinyanga akajiuzulu kwa kuwajibika.

Alikuwa katibu mkuu wa Foreign Affairs? Lini?
 
Hata nami kwa hapo nimekubali kampuuza January kabisaa....ila hatujui nini nyuma ya pazia.
 
ana skandali ya kuiba pepa la necta hadi kufutiwa matokeo huyu....mwigulu kashfa ya umri na gpa,zitto ananuka rushwa na usaliti,membe hana mvuto,migiro is unpopular,yani watu wa jk wote hawauziki.!!!

Kwahiyo unataka utudanganye kwamba rais anachaguliwa kwa mvuto sio sera na dhamira yake kwa taifa. Could you go any lower than this?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom