Kikwete anamfahamu Al Adawi!

Kikwete anamfahamu Al Adawi!

nikiifuata hiyo link upande wa daily noise napata ujumbe huu:

, You have an error in your SQL syntax; check the manual that corresponds to your MySQL server version for the right syntax to use near 'and authorised='1'' at line 1

wametoa nini?
 
My Take:

1. Huyu jamaa alitajwa na Ngeleja kama mmiliki wa Dowans almost 2 weeks earlier kabla JK hajaruka kimanga kutomfahamu mmiliki wa Dowans. Lakini it turns out kumbe JK amewahi kukutana na huyu jamaa ana kwa na in official terms. Hii sintomfahamu inazua maswali mengi kwamba JK kuna kitu anakificha.

Labda ugonjwa wa kisukari unamfanya asahau mambo mengi. Hivi waht can we say.? Sisisemi hivi kwa kufurahi walaku kashifu ugonjwa wake but inaweza kuwa ni sababu.
 
SAFI SANA.

So it's official (from Daily News sources) that Kikwete met Al Adawi last year 2010.

Mbona alitudanganya?

Pinda naye akadanganya mambo ya Arusha. Serikali imejaa mafisadi, na sasa wote wamekuwa waongo.

Mwanza lianzisheni. Nchi nzima inafuata kama Misri, Tunisia, Libya, Bahrain...
 
UKWELI: Simtetei JK maana anawajua Dowans wala hilo halina mjadala mkubwa, lkn hapo Daily News waliandika habari ya JK kutembelea kiwanda cha "Al Adawi Cotton Ginnery" kilichoko wilayani Maswa. Kiwanda hiki kilikuwa kinamilikiwa na Cargill (T) Ltd na baadae kuuzwa kwa "Abdul Hilal" ambaye ni mfanyabiashara mwenye asili ya Kiarabu lkn mwenyeji wa siku nyingi hapa nchini (anaongea kisukuma sana).

Hivyo, kampuni ya Al Adawi isihusishwe na anayejiita mmiliki wa Dowans (Brg Gen. Al Adawi). Mi si msemaji wa kampuni hiyo lkn niko kwenye Cotton Industry na huu ndo ukweli.
 
Sasa Daily News walimaanisha nini na hii kauli(inamwongelea individual na sio kampuni kama Al Adawi) na sio huyo Abdul Hilal?

''Al Adawi said his company, which bought a ginnery from the American agro firm Cargill last year, plans to build the capacity of cotton farmers in Shinyanga Region, by providing them with modern farming skills, tractors, power tillers and farm inputs.''
 
Serikali ya waongo hii!!! Haitufai hata kidogo!! Si kwa kutoelea wala kurumangia!!!
 
Kikwete in Dubai: Kukutana na Al-Adawi?

Rais Kikwete na ujumbe wake wako Dubai wakiwa njiani kurudi nyumbani kutoka mkutano wake na Waziri Mkuu wa Uingereza huko London siku chache tu zilizopita. Vyanzo vyetu vya uhakika vinadokeza kuwa akiwa Dubai kuna uwezekano mkubwa Rais Kikwete kukutana Bw. Al-Adawi mmmiliki wa Dowans mwekezaji ambaye yeye alimualika kupitia Mbunge wa Igunga Mhe. Rostam Aziz.

Hata hivyo, haijajulikana hadi hivi sasa kama Rais Kikwete au uongozi wa serikali unatambua kuwa kampuni ya Dowans Tanzania Limited ilianzishwa kwa kutumia false pretense pale iliposema kuwa mmoja wa wanahisa wake wakubwa ni kampuni ya Portek Systems and Equipment LTD. Hiini kwa mujibu wa nyaraka za kampuni hiyo zilizoko BRELA.

Uchunguzi wa kijarida cha leo cha Cheche unaonesha pasipo shaka kuwa kampuni ya Portek yenye makao makuu huko Indonesia haina hisa yoyote kwenye DTL kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa mara kwa mara na baadhi ya vyombo vyetu vya habari. LIcha ya hayo uchunguzi umeonesha kuwa kampuni ya Portek haijihusishi na biashara ya kufua umeme kama ambavyo iliandikwa na mojawapo ya magazeti ya Habari Corporation karibu miaka miwili iliyopita.

Chanzo chetu kinadokeza kuwa mojawapo ya maamuzi ambayo yanatarajiwa kuchukuliwa ni kuona jinsi gani serikali itaweza kuyanunua majenereta hayo licha ya upinzani mkali kwani ahadi iliyotolewa kwa mmiliki wa kampuni hiyo kuwa baadaya mkataba serikali itanunua majenereta hayo imeanza kuwa deni baada ya kuonekana ni vigumu kutekeleza ahadi hiyo katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini.

Hata hivyo, njia nyingine ambayo inatajwa tajwa kama desperation move ni kutokuweka timu nzito ya kuitetea TANESCO kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Mapatanisho ya Kibiashara (IAC) huko Paris, Ufaransa. Endapo TANESCO itashindwa kesi hiyo kampuni ya Dowans italipwa zaidi ya dola milioni 100 na kuzidi kwa kiasi thamani ya majenereta yenyewe.

Suala la kutaifisha mitambo hiyo haliangaliwi kwa ukaribu kama inavyodekezwa na wapasha habari wetu. "Kutaifisha wanaogopa kwani wanaona itatuma ujumbe mbaya kwa wawekezaji kuwa Tanzania inataka kurudi kuwa nchi ya kijamaa" amesema mdokezaji wetu.

Mwekezaji huyo wa Oman pamoja na washirika wake wa kibiashara bado hawajakubali kushindwa na wanatumia "ushawishi" wao wote kuhakikisha kuwa suala la Dowans linapotea katika vichwa vya magazeti ili hatimaye uamuzi wa kununua uje kutangazwa tu baadaye kuwa "ilikuwa ni lazima, tusingeweza kuacha nchi iingie gizani" tumetonywa.​
 
Sasa Daily News walimaanisha nini na hii kauli(inamwongelea individual na sio kampuni kama Al Adawi) na sio huyo Abdul Hilal?

''Al Adawi said his company, which bought a ginnery from the American agro firm Cargill last year, plans to build the capacity of cotton farmers in Shinyanga Region, by providing them with modern farming skills, tractors, power tillers and farm inputs.''

Nimekuelewa Safari, lkn binafsi naamini waandishi wa habari "makini" hapa TZ ni wachache km akina Jen. Ulimwengu, Kubenea, nk. Tatizo wengi wa wanaosoma Mass Communication, Journalism, na vya kufanana na hivo huwa mara nyingi wamekwepa au kufeli masomo ya kufikirisha au kudadisi sana. Hivyo, mi nina wasiwasi km huwa wanaandika kwa kusikia tu bila kufikiri au wanafikiri kidogo sana na kuandika mengi.
 
Mkuu daily newz inaweza kumsingizia mkulu kweli?
 
UKWELI: Simtetei JK maana anawajua Dowans wala hilo halina mjadala mkubwa, lkn hapo Daily News waliandika habari ya JK kutembelea kiwanda cha "Al Adawi Cotton Ginnery" kilichoko wilayani Maswa. Kiwanda hiki kilikuwa kinamilikiwa na Cargill (T) Ltd na baadae kuuzwa kwa "Abdul Hilal" ambaye ni mfanyabiashara mwenye asili ya Kiarabu lkn mwenyeji wa siku nyingi hapa nchini (anaongea kisukuma sana).

Hivyo, kampuni ya Al Adawi isihusishwe na anayejiita mmiliki wa Dowans (Brg Gen. Al Adawi). Mi si msemaji wa kampuni hiyo lkn niko kwenye Cotton Industry na huu ndo ukweli.

Una uhakika na shareholding structure ya kampuni yako lakini??

Kwamba:
1/ "Abdul Hilal" ni sole shareholder?; au
2/ "Abdul Hilal" si local agent tu wa mwenye kampuni ambaye ni "Al Adawi"?; au
3/ "Abdul Hilal" si ndugu (binamu, mjomba, shemeji) wa "Al Adawi"?;
 
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi, maana inashangaza kwamba huyo mwandishi wa Daily news alichanganyikiwa vp na kumuita Hilal kwa jina gumu na refu al adawi! na wakati huo huyo brigedia jenerali mstaafu hakuwa maarufuj kiasi hicho!
 
UKWELI: Simtetei JK maana anawajua Dowans wala hilo halina mjadala mkubwa, lkn hapo Daily News waliandika habari ya JK kutembelea kiwanda cha "Al Adawi Cotton Ginnery" kilichoko wilayani Maswa. Kiwanda hiki kilikuwa kinamilikiwa na Cargill (T) Ltd na baadae kuuzwa kwa "Abdul Hilal" ambaye ni mfanyabiashara mwenye asili ya Kiarabu lkn mwenyeji wa siku nyingi hapa nchini (anaongea kisukuma sana).

Hivyo, kampuni ya Al Adawi isihusishwe na anayejiita mmiliki wa Dowans (Brg Gen. Al Adawi). Mi si msemaji wa kampuni hiyo lkn niko kwenye Cotton Industry na huu ndo ukweli.

Mkuu hebu soma tena hako ka-paragraph hapo chini alafu ulinganishe na statement zako!!

Al Adawi said his company, which bought a ginnery from the American agro firm Cargill last year, plans to build the capacity of cotton farmers in Shinyanga Region, by providing them with modern farming skills, tractors, power tillers and farm inputs.
 
Huyo jamaa mi nimeshindwa kumuelewa kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Nyambala, kwanza thanks kwahilo bandiko maana umetukumbusha wengine hata hatukumbuki kuiona au kusoma hilo gazeti. Kuna huyo WMF, naona analazimisha kutokuelewa, more things to be revealed tusubiri maana kila kuchapo kuna jipya.
 
Aiseeeeeeeee, siamini macho yangu! Rais wa nchi anaweza kudanganya hivyo! Ama kweli mkwere ni msanii siyo mchezo! Hii habari nashauri ichapishwe kwenye gazeti la Mwanahalisi ili wanaomtetea waaibike.
 
Back
Top Bottom