NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
HII HAPA YA UKWELI KABISA..........
Kwa hiyo Zengwe mpaka kwenye Identity halisi ya mtu...yaani wanatuletea mtu ambae sie....kweli nimeamini serikali tunayo
HII HAPA YA UKWELI KABISA..........
Kwa hiyo Zengwe mpaka kwenye Identity halisi ya mtu...yaani wanatuletea mtu ambae sie....kweli nimeamini serikali tunayo
Nchi hii tumefika kubaya, kila mtu bei yake inajulikana. Wahariri wote bei yake inajulika. Haiwezekani mtu yuko hapa nchini halafu uniambie eti aemekataa kupigwa picha ndo maana hazipo magazetini!! Huu ni uzushi. Kwani wale polisi waliokamatishwa na Jerry Muro wakati wanapokea kitu kidogo waliruhusu wapigwe picha!
Yaani kinakuja chanzo cha habari muhimu kama mtu anayejiita mmiliki wa Dowans Tanzania halafu vyombo vya habari viseme eti amekataa kupigwa picha!! Mambo mengine ni ya c.h.o.o.n.i. kabisa hata kuyasikia inatia kichefu chefu. Kifupi ni kuwa media house zote hapa bongo zinanunulika kama mtumba wa mmachinga mtaani. Hawataki kutoa hiyo picha sababu wameshalishwa.
Ni afadhali mkaeni kimya, lakini msiseme eti mmekosa picha kwa sababu huyu mtu kagoma kupigwa picha!! wapi na wapi! Wote tunaonana mazuzu tu.
Kwa mdadisi yeyote ziara ya anayejihita mmiliki wa Dowans Brig.Gen.Al Adawi inazua maswali mengi kuliko majibu; kwanza kwanini hakutaka kupigwa picha?
Pili katika hali ya kawaida R.A kama mwakilishi wake ndiye mwenyeji wake, hivyo alitakiwa awepo katika mkutano wake na wahandishi wa habari kwaajili ya kumtambulisha, inaonekana hilo halikufanyika.
Tatu ameingia tu na mtambo mmoja wa Dowans ukawashwa. Haiwezekanikuwashwa huko kwa mtambo huo ukatokana na mashauriano ya siku moja.
Inavyoelekea mipango yote tayari ilikwisha andaliwa, haya yanayotendeka sasa ni kiini macho, ndiyo maana kuna tetesi ya kwamba hata huyo anayejihita Brig. Gen. Al-Adawi uenda hasiwe mwenyewe bali kivuli chake.
<br />HII HAPA YA UKWELI KABISA..........<br />
<br />
<img mbona hapa alikubali kupigwa picha?src="http://www.oeronline.com/php/2008_may/in_news1.jpg" border="0" alt="" />
Kwa mnaoishi nchi za magharibi nadhani mnaelewa maana ya neno PRIVACY.
Kwa mnaoishi nchi za magharibi nadhani mnaelewa maana ya neno PRIVACY.
MAFISADI MKOME HII SINEMA YA HIVI SASA JUU YA DOWANS LAASIVYO
TUKAPOROMOSHE 'MI-WIKILEAKS' ZAKE HAPA MPAKA MJISIKIE KUFAKUFA HIVI!!!
Hawa wamiliki wa Dowans wa KUKODI wala hatudanganyiki!! Lowassa na Rostam Azizi, kaundeni mpango mwingine; huu hapa tayari umeanguka kwa pua.
Na mkijaribu kubisha basi TUTAPOROMOSHA USHAHIDI KAMA MVUA HAPA kuliko hata ya Wikileaks mpaka mshangae wenyewe. Naona bora mkasimamishe hii sinema ya huyo Msaudia aliyeletwa nchini na Ridhiwani Kikwete tayari na makabrasha yote bandia, kabla hamjapata kuabika zaidi!!!!
Ile pichaniloiona hapa jf nimehisi ni tofauti na nikoiona kupitia google images!