Kikwete ana kipi special hadi asingiziwe?

Hapo kwenye hoja yako ya mwsho ya kuufunga UBALOZI,,,,,,,,haiwezekan,labda ingekuwa LIBYA,VENEZUELA,IRAN,ZIMBABWE,,,,,NA KIDOOOGO KENYA
Weakleaks wanavujisha taarifa za kiintelijensia za Ubalozi wa Marekani na kuutoa. Serikali ilitakiwa iwabane hawa Weakleaks wathibitishe kama kweli hizo taarifa wamezitoa Katika mawasiliano ya Us Embasy na kama ni kweli Us Embasy ilitakiwa wabanwe wathibitishe wakishindwa tuwafukuze wafunge ubalozi wao hapa kwetu maana watakuwa hawatutakii mema. Kwakutokuwabana inaonyesha haya yote ni ya kweli

Nchi inauzwa kwa suti 5 tu,..au kwasababu ya kukwea pipa kufanya shopping london..hii ni aibu.

americans they dont have friends'''''''they dont give a damn about AFRICANS .huyo balozi wa marekani asiingilie watu wa Tz KAMA Ambavyo wao sheria zao ni kulinda Americans even if they do criminals kwenye nchi za watu.why on earth they running into TZ bcz of our wealth now they want to take our lands,natural resources halafu atuletee na dharau zao hapa......yote hayo umeyataka JK sasa ujue who are really Americans!!!

Kwa hili Kikwete kaliaibisha taifa na kujiaibisha mwenyewe...

zawadi tu ile haina shida acheni wivu wa kijinga nyie wapiga porojo hamna kitu cha kufanya!

Salva kuna mambo ya msingi ameyakimbia, hivi ulitegemea yule Pile ajibu tofauti wakati anajua jibu unalotaka kulisikia toka kwake! kama wikileaks wametoa maneno ya uongo(sijui ni kwa faida gani) ni budi ikuli na salva walete ushahidi kuwa mkuu hakununuliwa suti sita na kulipiwa safairi ilhali akiwa ni waziri wa mambo ya nje

Salva kuna mambo ya msingi ameyakimbia, hivi ulitegemea yule Pile ajibu tofauti wakati anajua jibu unalotaka kulisikia toka kwake! kama wikileaks wametoa maneno ya uongo(sijui ni kwa faida gani) ni budi ikuli na salva walete ushahidi kuwa mkuu hakununuliwa suti sita na kulipiwa safairi ilhali akiwa ni waziri wa mambo ya nje

hawana ubavu wa kutoa vielelezo vya kujisafisha

Anaitwa JK a.k.a OMBAOMBA
..Dogo ni dhahiri anatuonyesha ule uswahili wake. Na yule Salva amewekwa pale ili awe anamkingia kifua dogo maana nimesilikiliza maelezo yake ya jana nikashindwa kuelewa huyu mtu amekwenda shule au ndio kutetea ugali wa watoto wake?

Salva Rweyemamu msemaji wa lkulu amepinga vikali kuwa raisi wetu hakupokea hongo ya suti.
Je wikileaks wana ugomvi gani na kikwete hadi wamsingizie? Au kuna mkono wa Chadema kwenye hii KASHFA YA RAISI?
mi mwenyewew nashangaa wiki leaks balozi tena wa USA wotee wamsingizie hamna kitu jamaa akubali bwana kadaka suti na hizooo hela yaaani nahisi washatuona sie watz mazooooobaaa hawa jamaaaaa hayaaa..

zawadi tu ile haina shida acheni wivu wa kijinga nyie wapiga porojo hamna kitu cha kufanya!

Sikubaliani na wewe! Mbona Rweyemamu hakusema ni zawadi. Acha kumkingia kifua kilanja, na wewe ni msemaji kivuli wa ikulu? nini!

Back
Top Bottom