Kikwete ammwagia sifa Lowassa

Kikwete ammwagia sifa Lowassa

Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!

wangekuwa wameandika juu ya Membe wala husinhejitokeza hapa! hivi Lowasa alikufanyia nini?
 
Nape wapi siku 90 za kuvua gamba,nakushauri ukamtafute baba yako,maana siku Lowasa akichukua nchi utakuwa huna pa kwenda,ni bora kujua ukoo wako mapema.
 
Waandishi wa habari wa siku hizi ni janga lingine la taifa!

Waandishi wa habari wanageuka kuwa janga la taifa baada ya kuanika uchafu unafanywa na ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Haya kumekucha kulikokuchika miaka nenda rudi, haaaaaaooooooooooo! pwayuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Huu sio wakati wa kupigana vikumbo kwani chama chetu ni imara zaidi ya chuma cha pua hakuna haja waandishi kuanza kutunga uongo .
 
Kuanzia huyo lowasa mpiga kampeni makanisani mwizi tapeli fisadi nyangumi papa baba lao mafisadi,mtuhumiwa namba 1 wa ufisadi mkubwa tanzania,mbele ya riziwani wakifuatiwa na kinena(ndovu) lowasa mzee wa richmond na mahela ya uswiswi hafai kuwa raisi kama anaweza kumtorosha muimba injili c ndio atamkatia licence kinena asafirishe mpaka za faru hazarani,hatuwezi kuwa na raisi kama huyu mtumia pesa kujipigia chapuo...nnape kazi unayo baada 2015 japo huyu mzee hawi rais ila mtetezi wako hatakuwa tena madarakani so utakolimbwa live!!!

Pili kikwete mdhaifu kabisa hakujawahi tokea rais kama huyu duniani ajabu la nane la dunia hili,kivutio cha utalii ambacho ni mobile!!!?nnchi imemshinda so asemacho chochote ni pumba kabisa...

Nnape ndio kabiisa zuzu ambaye hajielewi kabisa...huyu kama hapa sijui kapinga nini sasa

Si mna raisi wenu Dr Slaa? Sasa huku ccm kunakuhusu nini?
 
Wewe c zuzu wewe
hujatambua hapo nawaepusha wengine na majanga...umeuliza kirahisi nakujibu kirahisi mno...embu kuwa mtu mzima
si mna raisi wenu dr slaa? Sasa huku ccm kunakuhusu nini?
 
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!

Kaka kiboko ya Lowasa ni Chadema.Mungu bariki Lowasa asimame kwa tiketi ya ccm..2015 RIP Magamba..
 
Kikwete ni kigeu geu ana reflect tabia halisi ya kabila lake.....
 
Hawa jamaa hawakukutana barabarani, haya maneno pro-Chadema hawataki kabisa kuyasikia.
 
Hivi characteristics za kuwa mwandishi tanzania ni form gani?
 
Mgombea mteule wa CCM Uchaguzi ujao ndiye atakeyetoa picha kama kitaendelea kuwa tawala ama pinzani....na wakidiriki kumweka huyo mchovu wataula wa chuya.
 
Back
Top Bottom