Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
Nimesoma thread moja ambayo imenukuu gazeti la mwananchi kuwa JK amemfagilia Lowasa kuwa nguvu zake zinatosha kuipa ushindi CCM. Baada ya thread hiyo, Nape kaja juu na kumuita mwandishi wa habari ile kuwa ni mshambenga.
Nikiri kuwa kama katibu mwenezi, kazi yake ni kueleza kinachoendelea ktk chama. ila kitendo cha ku-provoke, na kuonesha kuwa humtaki na humpendi Lowasa ni kitendo kibaya na hakitakiwi kufanywa na mtu mwenye dhamana kama yake. anatakiea awe fair na aache chuki binafsi
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
Ukisikia jina la Lowassa tumbo la kuhara linakushika gafla.Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
Waandishi wa habari wanageuka kuwa janga la taifa baada ya kuandika habari ambazo haziwafurahishi baadhi ya makada wa ccm.Waandishi wa habari wa siku hizi ni janga lingine la taifa!
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwani Mh. Nape wewe kinachokuuma ni kitu gani ? Siku 90 ziliisha na Magamba yalikushinda , si unajua hao jamaa hawakukutana Barabarani ! Au wewe uko kundi gani kaka , maana tunaambiwa sasa hivi kuna Makundi 6 , Eti Chenge naye anataka Urais !