Kikwete ammwagia sifa Lowassa

Kikwete ammwagia sifa Lowassa

Sasa Misuli ya Lowasa imekuwa ya kutoshea kata, ama kweli ameshushwa viwango, maana walianza na jimbo akagalagazwa, sasa wamemshusha kwenye kata nako anaenda kugalagazwa kwa kishindo! sijui baada ya hapo watamshusha kwenye kijiji, then kitongoji, then ubalozi wa nyumba kumi! huku ni kumdhalilisha Lowasa!
 
Lowassa yupo juu that's y mling'oa kwenye kiti cha prime minister mbona sioni kazi inayofanywa na mizengo pinda hadi sasa?
 
Nape utamvua lini gamba lowassa?ona sasa jk mwenyewe anamgwaya,kiboko ya lowassa ni chadema,hakuna mtu ndani ya ccm anaweza kupambana na mamvi

Nape ameingizwa mkenge na bosi wake Mr Kigeugeu. Angalikuwa mjanja basi yale anayoambiwa na bosi wake akamsemee hovyo mamvi angekuwa anachanganya na za kwake. Utaona sasa hivi atatafuta mlango wa kutokea...
 
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!

Unatumia nguvu nyingi kulaumu watu kwa kusema uongo, kwa nini nguvu hizo usizitumie kuusema ukweli ili watu tujue? Kama huu ni uongo basi tuambie ukweli ni upi, otherwise wewe ndiye muongo kwa kuita wengine waongo.
 
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!

Mipasho kama ada..., umesikika
 
Jk mwenyekiti Taifa CCM na rafiki wa karibu sana na E Lowassa amenukuliwa mara kadhaa akimsifia swahiba wake akimwita mchapakazi, jembe na hodari sana. Mwenye misuli na uwezo wa kushinda chaguzi.

Nape Nnauye kati wa mwenezi wa CCM taifa amenukuliwa akisema E Lowassa fisadi, anakichafua chama, gamba lazima litoke.

kati ya mwenyekiti, katibu mwenezi wa CCM, na wairi mkuu alistaafishwa kwa kashfa za ufisadi akajisafisha kwa kutumia nyumba za ibada nani anakubalika zaidi ndani ya gambas??

Jk karuhusu vita ya 2015 ianze rasmi ndani ndani ya chama cha CCM.

Vita hii itatuletea madhara haya yafuatayo.

Wizi mkubwa kuliko ule wa EPA kwa kujipatia fedha za viata.
Tembo wengi kukatwa vichwa na mzee wa ujangili
Twiga wengi kuuzwa wakiwa hai nje ya nchi.
Mikataba mibovu mingi na wizi wa madini.
Wizi na ukwepaji mkubwa wa kodi.
Rushwa kubwa na dhuluma zilizopita kiasi.
Matumizi makubwa ya nguvu za polisi, vifo, kufungwa hasa kwa wapinzani na viongozi wao.

Vita hii itaongeza dawa feki, maji, feki, sabuni, feki, tairi feki, ghorafa kuanguka kwa kukosa viwango rushwa hiyo.

Mapaka vita hii ifikie kileleni mwaka 2015 Tanzania itakuwa imetumbukia kwenye chuki za kubwa na za kutisha za kidini, kikabila,kikanda, umasikini na utajiri.

Mwisho wa siku majeraha yatakuwa ni makubwa bila kupata tiba.

Chief Mkwawa anakumbuka mwaka 2005 walivyoitwa wauaji akina Salim A salim kwa kalamu ya salva.

Mwaka 2014-2015 Tanzania ndio itapitia maturity ya uwepo wa vyama vingi.
 
juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!

halafu wee nape wewe!1subiri lowasa awe rais, sa ivi anakulia mingo tuu!
 
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!

TUFUNGULIE [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=mwanahalisi]#mwanahalisi [/URL] # BHASSS GAZETI PEKEE NA MSEMA KWELI HAKIKA KAMA JAMII YA TANZANIA NA AFRIKA ITAMBUAVYO.:::::::::::::::::::::::::::: plz mwambie mkuu wa kaya alifungulie [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=mwanahalisi]#mwanahalisi [/URL] .
 
Hakuna tatizo hapo mkuu. Lowassa kaulizwa akawajibu kupitia 'kurugenzi yake ya mawasiliano' tatizo liko wapi?

CC: Pasco
Mkuu, hii unayoiita "Kurugenzi yake ya mawasiliano" kwani watu wake majina yao ni SIRI?. Kwa nini wanaogopa kutaja majina yao kama vile kuwa kwenye "kurugenzi ya mawasiliano ya Lowassa" ni kosa la jinai. Kuna nini kimejificha katika mahusiano yao.

Kama habari yote niya kweli, huoni kama kuna kitu muhimu kimekosekana katika kuikamilisha habari hii mpaka watu wanaanza kujadili mwandishi na mhariri badala ya kilichoko ndani ya habari.
 
du kazi kweli kweli aisee maana hadi ifike 2015 itakuwa tushaskia meeeeeeeeengi aisee...
 
KUNA VITU VILE NAWAZA:
Mzee Lowassa akiutwaa Urais, Nape atafanya kazi gani tena ?

CCM huwa hawana siasa za chuki na uhasama, huwa wanavunja kambi zote baada ya mgombea kupatikana.
 
Nape wewe ni Vuvuzela. Aliesemaga wewe ni SARATANI UNAYOIUWA CCM taratibu hakukosea.
Huwezi kukubali habari hii kwani imemtaja Muhasimu wako Mkubwa Kisiasa na Unae mwogopa kuliko mtu yeyote Duniani mh EDWARD LOWASSA.

Ingekuwa hapo katajwa au Kasifiwa SITTA, MEMBE au MWAKIEMBE hapo lazima ungejitokeza ukishangilia kama ZUZU.
Sisi yetu macho tunawatizama tu na SARAKASI yenu Magamba. Na nikuhakikishie wewe VUVUZELA kwamba Umuombe sana Mungu Usiku na Mchana ili CDM ishinde kuliko LOWASSA awe Rais wa nchi hii kwani UTANYONGWA hadharani.

Nyie Maccm watu wa ajabu sana.Hata sijui kwanini MUNGU anachelewa kuwaita,mbele za HAKI watu Wanafiki kama nyie.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
Mkuu utamfanya Nape aanze kusaka uraia wa nchi mbili,poor Nape....Lowassa anakuvutia kasi kwa jinsi ulivyomkosea adabu..viva lowasa
 
Ndiyo maana kila siku ninasema kuwa Tasnia ya habari Tanzania kwa sasa IMEINGILIWA. The media is Politically motivated with network of corrupted journalists, reporters, editors and bloggers.

Hii sehemu ya habari imebeba habari nzima. Lakini ukiisoma paragraph kwa umakini utagundua kuwa huyu mwandishi wa habari alikuwa anachanganya UKWELI na UWONGO wa kiwango cha juu katika habari yake kiasi cha kushindwa kuziba mashimo ya mapungufu ya mzizi wa habari yake.

Test ndogo. Kuna sababu gani ya huyo mtu wa karibu kutokuandika jina lake kwa habari ambayo kwa mleta article niya kweli isiyohitaji analysis. Hii ni ishara tosha kuonyesha, nini kilichoko nyuma ya habari yenyewe.

Ngoma ikipigwa sana.....

Mpaka kufika 2015, tutaona na kusikia mengi.
Kama unahisi niya uwongo nenda mahakamani na ikibidi lifungien hilo gazeti,naona wewe na mjomba ako Nape mnatapatapa..
 
Kikao hichi kilikuwa cha ndani kati ya Rais Kikwete na wabunge wa CCM.
Nape wewe sio mbunge wa CCM, sijui kama ulihudhuria hicho kikao, na kama ulihudhuria, ulikuwa kama nani?

Haya basi Nape tupe huo ukweli wako unaoujua kama kilichoandikwa na mwananchi ni Uongo.
Yaani wewe kwa uchambuzi wako finyu umeona mwandishi wa habari ndiye alikuwa na uharali wa kuingia kwenye kikao cha wabunge wa CCM zaidi ya Katibu Mwenezi wa CCM Taifa. Forlorn hope!!

kwa sababu kuambiwa watu kama wewe huwa hamuamini, angalia hii picha hapa au tembelea hapa,
Nkoromo Blog
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    39.8 KB · Views: 54
Back
Top Bottom