Huwezi kuwalazimisha watu wote wakae ndani ya box la ccm lililojaa damu za Watanzania as if hiyo ndiyo best practice na standard ya mwisho y aWatanzania.
Ccm ni moja ileile inayonyonya damu za Watanzania.
Tatitzo lake hamna lolote wanabaki kudandia jujuu agenda za wapinzani bila kujua namna ya kuzitekeleza.
Nilitegemea mbele ya kusifia ujenzi wa shule, barbara na majumba ya kisasa, uongezee mzigo wa kodi kwa wafanyakazi, kiwango cha elimu Tanzania ambacho ndiyo mtaji wa taifa na vizazi vyake, uzungumezie ufisadi ulikithiri kuanzia richmond, epa, escrow, kagoda, meremeta, ujenzi wa bomba la gas, lugumi, iptl nk. kisha uendelee kidogo hadi kwenye ongezeko la kutisha la deni la serikali lisilo maelezo, uangalie hujuma za mali asili zetu ikiwamo usafirishaji wa wanyama na mauaji ya tembo, hatua gani serikali ilichukua, thamani ya hujuma hizi ulinganishe na uwekezaji kwenye hiyo barabara na magorofa nssf unayoyasema, mwisho utazame mauaji ya kisiasa ya kina Mwangosi, uovyo wa huduma za afya kitu ambacho ni cha msingi kkuliko yote, habari za M'nyang, ulimboka, na wengine walioteswa kwa maslahi ya mtu mmoja, watanzania wanaoendelea kufa hadi leo kwa sababu ya ukosefu wa huduma za afya, uharamia na hujuma zilizofanywa juu ya katiba ya nchi uliolengesha kwenye kile kinachoendelea sasa, uchakachuaji wa kura na hitimisha uchaguzi wa zanzibar.
Yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa yanayotokea leo hii,, ni matokeo ya utawala wa huyo mkwere wenu asiyekuwa na maono wala mipango ya maana ya maendeleo ya taifa zaidi ya kulinda maslahi yake na ya familia yake.
Lawama zote zirudi kwa mkwere kwa sababu ndiye muasisi wa udikteta na utawala unaoendelezwa hapa Tz. Kila kitu aliasisi yeye na sasa anafurahia matunda ya mkono wake wa mgongoni.
Naomba "ukome" kuwaudhi Watanzania kwa kuwalazimisha kuishi katika himaya ya kishetani ya ccm. Ccm ni ileile, hujuma inazofanya kwa watanzania katika awamu zake za uongozi wa kulazimisha ni rangi za maua katika shina la mti mmoja.
Ccm ondoka ukafie baharini kusikokaliwa na binadamu. TAnzania siyo mali yako, huna hatimiliki na Watanzania wamekuktaa na hawakutaki1.
Kama unataka kujifunza kaa kando waanchie Watanzania waongoze nchi kwa ufanisi bila kutumia nguvu ya majeshi kama mnavyofanya sasa.
TUMECHOKA NA UFIRAUNI WA CCM!
Uko obsessed na Mkwere!
Yeye sio mwanzilishi wa CCM, yet wote mnaimba na kuabudu jina la mwanzilishi wa CCM!
Yeye si aliyeanzisha azimio la Zanzibar lililofuta ujamaa!
Pia ufisadi ulianza labda hata kabla ya mkwere kumaliza shule, rejea issues za uhujumu uchumi enzi hizo za Mwalimu na hadithi za fagio la chuma za Mwinyi!
Serikali ya mkapa pia had a lot of scandals and possibly most of hizi cases zilikuwa ni muendelezo wa mambo yaliyotangulia!
Essence ya uandishi wangu sio kumsifu mkwere kuwa ndio raisi bora, na kubeza Magu na team yake! Ila ni ukweli kuwa uwezo wa kufikiri na kuplan kwa sasa haupo!
Tulipokuwa hatukusanyi kodi na kulinda rasilimali mali za nchi ndio mambo yalipaswa kuwa mabaya! Leo tumeongeza uwezo wa ndani, tu!epunguza wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa, lkn hizo huduma za jamii kama afya, elimu ndio zimedorora maradufu!
States walizofikia che nkapa na mkwere hadi leo tumesharudi more than 5 steps back! Hii case chanjo inayozuka kama rumours kwa sasa ikiwa ni kweli utakuja kuwa balaa kubwa! Hizi cases za kipindupindu cha mwaka mmoja hakijawahi kutokea, outbreak ya nchi nzima kwa zaidi ya miezi 6!
Anyway nyie ndio mnaofanya watu wa awamu hii wasiwajibike!
Tuna tatizo leo, mnaamsha blames kwa tawala zilizopita!
Si tulishasema tunataka mabadiliko ya kweli?
Si tulijua kikwete katuangusha na sasa ndio wakati wa kampeni wote tuliamua kuhubiri mabadiliko!
So we knew exactly wapi kuna tatizo!
We had plans ambazo zilikuwa better than hizo za waliotangulia!
Now, huu ni wakati wa kuonesha ufundi na kuleta tija kwa mtanzania sio tena turudi kule kuliko tufelisha!
Mimi bado nina tofauti na mlio wengi, bado naamini mkwere alikuwa na vitu vya msingi sana katika kufanya mambo yaende! We need him, tukubali tukatae, time will tell!