Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,176
Reaction score
48,460
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇

Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
 
View attachment 3411149

sasa kwanini walikuwa wanashangilia sana -- na wanaopinga kama mpina kuna video ilimuonesha anasikitika , anna makinda naye alikua mbele anatabasamu kwa mshangao sana

ccm hii ni desturi yao hata bunge ni kusifia tu muda wote

binafsi nyyakati hii nafurahi sana
 
Ukiangalia kwa makini utaona mwanzoni wengi hawakushangilia mwanzoni na Samia alionekana mwenye wasiwasi. Hata Kkwete ni kama hakutarajia kuona hali kama hiyo. Baadae ndiyo wakaja kufanya maigizo ya kushangilia sana. Reaction ya mwanzo ndiyo mimi naichukulia maanani.
 
Hakua anaongoza mkutano, alikuwa anaongea kama mwenyekiti na Rais msitaafu

Lakini pia Katiba ya CCM inaruhusu Mjumbe yeyote kuongoza mkutano kama Mwenyekiti na wasaidizi wake hawapo.

Kwakuwa Mwenyekiti hapo yupo.

Ndio maana nimesema hakua anaongoza mkutano
 
Humphrey Polepole anaposema mchakato wa kumpata mgombea wa CCM ulikuwa haramu, nadhani anazungumzia mambo kama haya.
👇
View attachment 3411149
Hapa Jakaya Kikwete anaonekana kuongoza kikao cha mkutano Mkuu wa CCM uliomfanya Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa CCM. Jee Kikwete aliongoza kikao hiki kama nani kwenye uongozi wa kitaifa wa CCM?
Kweli huyu mzee anakiharibu chama
 
Mshaanza kuamka
 
Back
Top Bottom