Kikwete alikuwa sahihi kumkata Lowassa

Ni zigo tena zito sana. CDM watajuta tu subirini siku si nyingi.

Ogopa sana katika maisha yako mtu anayependa madaraka/cheo au fedha kupindukia. Mtu namna hiyo ni mbinafsi, mchoyo na yuko tayari hata kutoa roho ya mtu.

Hulka na Kariba aliyonayo mtajwa hapo juu kwenye mada haitoi mwangaza mwema kwa mstakabali wa chama wala taifa letu ni wakuogopwa kama UKOMA.

Huwezi kutumia fedha nyingi kuhonga na kughilibu watu kulazimisha utawala na bado ukasema eti wewe ni nyota na jina kubwa la kipekee linalofaa kutawala.

Tumeona kabla ya kampeni na baada ya kampeni ndani ya CCM na nje ya CCM jinsi fedha nyingi alivyotumia kuutafuta utawala wa nchi.

Kwa wale mnaojifanya hamtaki kufahamu suala hili ni wakuhurumiwa tu na wakupewa msaada wa kifikira. Ukweli utabaki kuwa ukweli.

Nani hakuona misaada ya kutoa damu, fedha kwenye makanisa na misikitini na vikundi vidogovidogo ilivyotolewa na mtajwa katika mada kwa nia ya kuumanisha umma kuwa ni mpenda watu na kwamba sasa apewe nchi? Mbona sasa hivi hatoi hivo vitu? Na hapo hatujui ni kiasi gani alihonga wapiga kura ndani ya vyama husika alikokuwa na alikokwenda akitaka achaguliwe kuwa mgombea.

TUACHE UNAFIKI - KIJIKO NI KIJIKO TU SIO UMA.

KIZURI HUJIUZA NA KIBAYA HUJITEMBEZA.
 
Mbona hata kwa CCM ni hivyo hivyo...sasa cha ajabu hapa ni kitu gani kujadili masuala ya UKAWA na CHADEMA na hata aliyekuwa mgombea wao wa urais (ingawa mimi sikubaliani na kejeli na matusi dhidi yake) ????
Ukweli lazima usemwe aliyekunywa maji ya bendela aendeelee kusema ndio!!!!
 
Kumbe unajambo lako na chadema unafungua Uzi Mara mbili mbili Mara mbowe Mara lowasa bila haya majina hamlipwi hizo buku
Endelea kushikwa akili na ufipa
Wewe endelea kupigania buku saba zako hapo Lumumba naona Na wenzako watakuwa sasa hivi kujiunga mkono nchi inamambo mengi umeshikilia lowasa Na mbowe tu kisa buku Saba
 
Ni zigo tena zito sana. CDM watajuta tu subirini siku si nyingi.

Ogopa sana katika maisha yako mtu anayependa madaraka/cheo au fedha kupindukia. Mtu namna hiyo ni mbinafsi, mchoyo na yuko tayari hata kutoa roho ya mtu.

Hulka na Kariba aliyonayo mtajwa hapo juu kwenye mada haitoi mwangaza mwema kwa mstakabali wa chama wala taifa letu ni wakuogopwa kama UKOMA.

Huwezi kutumia fedha nyingi kuhonga na kughilibu watu kulazimisha utawala na bado ukasema eti wewe ni nyota na jina kubwa la kipekee linalofaa kutawala.

Tumeona kabla ya kampeni na baada ya kampeni ndani ya CCM na nje ya CCM jinsi fedha nyingi alivyotumia kuutafuta utawala wa nchi.

Kwa wale mnaojifanya hamtaki kufahamu suala hili ni wakuhurumiwa tu na wakupewa msaada wa kifikira. Ukweli utabaki kuwa ukweli.

Nani hakuona misaada ya kutoa damu, fedha kwenye makanisa na misikitini na vikundi vidogovidogo ilivyotolewa na mtajwa katika mada kwa nia ya kuumanisha umma kuwa ni mpenda watu na kwamba sasa apewe nchi? Mbona sasa hivi hatoi hivo vitu? Na hapo hatujui ni kiasi gani alihonga wapiga kura ndani ya vyama husika alikokuwa na alikokwenda akitaka achaguliwe kuwa mgombea.

TUACHE UNAFIKI - KIJIKO NI KIJIKO TU SIO UMA.

KIZURI HUJIUZA NA KIBAYA HUJITEMBEZA.
Mkuu nimewaambia tatzo ni kushikwa akiri
 
Kumbe unajambo lako na chadema unafungua Uzi Mara mbili mbili Mara mbowe Mara lowasa bila haya majina hamlipwi hizo buku

Wewe endelea kupigania buku saba zako hapo Lumumba naona Na wenzako watakuwa sasa hivi kujiunga mkono nchi inamambo mengi umeshikilia lowasa Na mbowe tu kisa buku Saba
Kwa taarifa yako Mimi hata Lumumba sijawai kanyaga lakini kwangu Mimi lowassa sumaye ni mafisadi kama walivyobaki mafisadi wenzao ccm
 
Jamani mwacheni Lowassa apumzike. Mzee anaumwa Parkison, anatetemeka anahitaji kupumzika asingeweza kukagua gwaride la batalian 10 tu!
 
Kuuza nini kwani sasa hivi anapishana nini na mlema??
KWA WANAOMUUNGA MKONO LOHASA UKIWAFUATILIA SANA UTAGUNDUA KUNA JAMBO HALIKO SAWA NA HUENDA NI WAPIGA DILI MIJINI AMBAO JPM AMEWASHIKA PABAYA. KWA MTU ANAYEJITAMBUA HATA KAMA ALIWAHI KUPITIWA AKAMUUNGA MKONO KWA SASA ALISHAJIREKEBISHA NA HATAKI HATA KUMSIKIA JINA LAKE.
 
Uko sahii mkuu
 
Huo ndio umbeya unaosemwa kwa sabb huyo mzee kama fisadi mbona wamekaa naye miaka yote bila kumpeleka mahakamani? Mimi nafikiri moto walioupata wakati wa uchaguzi bado unawababua otherwise waufyate tu yaishe
 
Umbea gani wakati ndo ukweli sema tu wanamptezea ila kwa sababu walipiga naye deals anapaswa apumzike!!
 
Back
Top Bottom