Kikwete alikuwa sahihi kumkata Lowassa

Kikwete alikuwa sahihi kumkata Lowassa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,647
Reaction score
58,453
Jamani tuwe wakweli hivi lowassa kwa sasa ni asset au liability
Lowasaa ni mzigo na time will tell!!!
 
Fafanua angekuwa mzigo kivipi. Just kusema angekuwa mzigo wenye kuangalia critically hawselewi wakufuatilie kutoka angle gani. Nijuavyo Jk alilazimishwa kufikia kilichotokea huko Dodoma. Haikuwa plan yake. Alilazimishwa na familia nafasi hiyo aichukue Membe. Na kwa kuwa kuna wengi walikuwa wanamtaka Lowassa, kwa hasira akaamua Lowassa na Membe potelea mbali wote wakose.
 
Kumbe unajambo lako na chadema unafungua Uzi Mara mbili mbili Mara mbowe Mara lowasa bila haya majina hamlipwi au
 
Hivi hapa JF bila kuleta uzi wenye neno Lowassa au UKAWA au CHADEMA ni kwamba hapanogi?
Jf lowasa na magu uzi wao na ukwaka na ccm ndo hunogeza jf inatakiwa kila dk 2 mwenye uzi sahihi atuletee
 
Yaan haya magamba hata yakienda na wake zao kupima DNA ikabainika mtoto ni wa nje ya ndoa utasikia yanamsingizia LOWASA
 
Hivi hapa JF bila kuleta uzi wenye neno Lowassa au UKAWA au CHADEMA ni kwamba hapanogi?

Mbona hata kwa CCM ni hivyo hivyo...sasa cha ajabu hapa ni kitu gani kujadili masuala ya UKAWA na CHADEMA na hata aliyekuwa mgombea wao wa urais (ingawa mimi sikubaliani na kejeli na matusi dhidi yake) ????
 
Fafanua angekuwa mzigo kivipi. Just kusema angekuwa mzigo wenye kuangalia critically hawselewi wakufuatilie kutoka angle gani. Nijuavyo Jk alilazimishwa kufikia kilichotokea huko Dodoma. Haikuwa plan yake. Alilazimishwa na familia nafasi hiyo aichukue Membe. Na kwa kuwa kuna wengi walikuwa wanamtaka Lowassa, kwa hasira akaamua Lowassa na Membe potelea mbali wote wakose.
Nimziko kwasababu kila anachofanya anaona yupo sahii
 
Akili kubwa hujadili vitu vipya akili ya kawaida hujadili mawazo ya watu na akili ndogo hujadili watu kama hapa
 
Back
Top Bottom