Kikwete alikuwa sahihi kumkata Lowassa

Kikwete alikuwa sahihi kumkata Lowassa

Ni tume ya maadili ya chama ndio ilikua sahihi kikwete alitangaza tu kumuondoa
Ccm ni chama cha wanachama sio cha kundi la mtu ndomana hakunaga maamuzi ya mtu mmoja mmoja.
 
Haaah mkuu bila kikwete lowassa angepeta
 
Lowasa anaumiza watu kichwa? Kumkata mmeshamkata haya maneno ya nini sasa. Mmekosa cha kufanya??
 
Subiri wafia Lowasa waje wakushambulie. Wengine wameshaingia
Nasikia bila kutamka neno Lowassa hurudhiki- nisawa na mtu aliyekubuhu kwakuvuta sigara huwa hakati gogo mpaka apige puff!
 
Jamani tuwe wakweli hivi lowassa kwa sasa ni asset au liability
Lowasaa ni mzigo na time will tell!!!

Lowasa aliwahi kuwa kiongozi mzuri siku zake. By default, utendaji wa kisiasa hupungua mvuto kadri siku zinavyooenda, mfano mwingine ni A.Mrema, John Cheyo, na wengine. Huu haukuwa wakati wa Lowasa wa Ku- practise siasa za majukwaani, kwa sababu muda wake umepita, agenda za kiasiasa zinabadilika, priority za jamii zinabadilika haraka sana. Huu kwa Lowasa ulikuwa wakati wa kujituliza, kutumia wisdom yake ili aweze kuwa state man
 
Mkuu ungeanza kufafanua kama wapi angefiti kati ya Asset au Liability orodhesha uasset wake na uliability wake oanisha kwa "percentage" halafu tutajua, na weka utekelezaji wa ahadi zake wakati anatambulishwa first time kwenye chama iwe kipima joto
 
Nasikia bila kutamka neno Lowassa Kinyesi huwa hakitoki uendapo Msalani - nisawa na mtu aliyekubuhu kwakuvuta sigara huwa hakati gogo mpaka apige puff!
Kisu mfupani
 
Lowasa aliwahi kuwa kiongozi mzuri siku zake. By default, utendaji wa kisiasa hupungua mvuto kadri siku zinavyooenda, mfano mwingine ni A.Mrema, John Cheyo, na wengine. Huu haukuwa wakati wa Lowasa wa Ku- practise siasa za majukwaani, kwa sababu muda wake umepita, agenda za kiasiasa zinabadilika, priority za jamii zinabadilika haraka sana. Huu kwa Lowasa ulikuwa wakati wa kujituliza, kutumia wisdom yake ili aweze kuwa state man
Exactly jamaa anavyoendelea kusema ndo anajimaliza kabisa ningekuwa mshauli ningenshauli anyamaze kabisa
 
06bfc7c4a78cbef2b8b3e8d1d54d51b9.jpg
 
Back
Top Bottom