Kingdom Finder
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,118
- 1,398
Tumeshachoka na mada za Luwasa. Akili zetu zikoje za kupenda kujadili watu. Ndiyo maana ombea ni mwingi sana katika nchi yetu. Kila kukicha Lowasa. Mda wa kumjadili Lowasa umekwisha na tujadili Mheshimiwa Magufuli jinsi ya kumsaidia na nchi iweze kusonga mbele. Kila siku kurudi nyuma kumjadili Lowasa si vizuri. Tuangalie mbele maana maana Lowasa tumeshamuweka pembeni.