kikwete akiwa na madoctor leo

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
419230_254546341297983_100002278567469_536107_850345422_n.jpg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwakaribisha Ikulu jijini Dar es salaam viongozi wa Chama cha madaktari nchini muda mfupi uliopita. Mkutano wake na Wazee wa Jiji la Dar es salaam umeahirishwa hadi kesho.
 
hongera kwa kunyofoa picha kwenye uzi na kuianzishia thread. sasa unge-paste maelezo ya kule pia incase anayeona hii picha hajapita kwenye ile thread kule ya live meeting
 
JF IDUMU NA ITADUMU KWA NGUVU ZA MUUMBA WA ARDHI NA MBINGU NA VYOTE VILIVYOMO MAGAMBA NA WENYE HIRA WASHINDWE.
Namaanisha hata sisi wa huku Masoko kisu kya Njala {Tukuyu} Tunapata latest kabla hazijachakachuliwa na TBC.

Updates ni Muhimu sana COMRADE
 
hawa jamaa kama ni wajanja wasile kitu chochote humo maana nyerere alishasema ikulu si mahali pazuri hata kidogo..
 
Mtu akinisalimia huku ameweka mkono mfukoni huwa namtukanaga kimoyomoyo..ni dharau !!!!
Mliosomma MUCHS, Mmemuona Deo aka DUKES akimpa mkono prezidaaa, nexk uli......upss! WAPI Namala. Nadhani ameshauliwa awaone ma-dr kabla ya vile vichawi vinavyorudisha nchi yetu nyuma ili ibaki vilevile kabla ya uhuru.
 
jf idumu na itadumu kwa nguvu za muumba wa ardhi na mbingu na vyote vilivyomo magamba na wenye hira washindwe.
Namaanisha hata sisi wa huku masoko kisu kya njala {tukuyu} tunapata latest kabla hazijachakachuliwa na tbc.

Updates ni muhimu sana comrade
waponiege bosa, bha masukulu tulitwesa
 
hongera kwa kunyofoa picha kwenye uzi na kuianzishia thread. sasa unge-paste maelezo ya kule pia incase anayeona hii picha hajapita kwenye ile thread kule ya live meeting

samahani mkuu, sikujua kama hii picha ipo kwenye thread yako coz hiyo thread sijaiona. kama vipi mwambie mod aziunganishe ili tuishi salama jamvini.
 
Kudos, tunaomba more info ya kikao hiki, atleast hapa angalau atakuwa alishauriwa vizuri na binadamu na sio na sokwe!!
 
hawa jamaa kama ni wajanja wasile kitu chochote humo maana nyerere alishasema ikulu si mahali pazuri hata kidogo..

Mbowe na timu yake walikula gahwa na kashata na biriani la usiku, mpka leo kimyaaa. Kwi kwi kwi...
 
samahani mkuu, sikujua kama hii picha ipo kwenye thread yako coz hiyo thread sijaiona. kama vipi mwambie mod aziunganishe ili tuishi salama jamvini.

teh teh we achana na huyo anaehisi kuibiwa hata mie sikuiona hio thread. Twanga twende mwanangu humu hakuna sorry ni bun tu
 
Ayawi ayawi na sasa yamekuwa! ukiingia ikulu lazma uwe kama mbwa na chatu! kwisg habari yao madokita, kesho kazn kama kawa, ashukuriwe mungu mgomo kwishinei waungwana.
 
Ayawi ayawi na sasa yamekuwa! ukiingia ikulu lazma uwe kama mbwa na chatu! kwisg habari yao madokita, kesho kazn kama kawa, ashukuriwe mungu mgomo kwishinei waungwana.

kwa maelezo yako ulitaka mgomo uwepo! So ili iweje? Watu wafe? Prezidaa anataka kusuruhisha mnaleta chokochoko nitamwambia asafiri tuone mtamfanyaje ohooo!
 
Serikali iambiwe ukweli, serikali haina fedha, wamezifuja, na pia mikopo ya wanafunzi ya semester iliyo pita kuanzia Oct, 2011 hDI FEB 2012 HAZIJALIPWA KWA VYUO VYOTE. Unadhani madakitari watalipwa kwa pesa kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom