kikwete akiwa na madoctor leo

Mliosomma MUCHS, Mmemuona Deo aka DUKES akimpa mkono prezidaaa, nexk uli......upss! WAPI Namala. Nadhani ameshauliwa awaone ma-dr kabla ya vile vichawi vinavyorudisha nchi yetu nyuma ili ibaki vilevile kabla ya uhuru.

Deo kichwa, mtabu mzima kauweka kichwani, halafu anakubishia huku anacheka na wewe.
 
Mkulu amechukua ile cream kabisa vijana makini,wapi zile Biscuits za ikulu na ile juice ukionja tu basi utata wote unapotea.
 
Back
Top Bottom