Kikwete akiri katiba mpya haitapatikana!

Kikwete akiri katiba mpya haitapatikana!

Bunge la Katiba naona limechukua kazi ya Tume ya Jaji Warioba,eti limewaita wasanii kutoa maoni yao,huyu M/kiti kapoteza Dira kabisa.
 
Huyu ndiyo real Jakaya Alfan Mrisho Kikwete ukimsikia mwingine photocopy. Ukiona mtu anashikiria msimamo wake ujue anaigiza sauti ya rais. Rais wetu yeye kauli zake ni situational. Na muda wote anachanganya na za wanaomsikiliza na kutoa kitu. Mbayuwayu style inaitwa hiyo.
 
Na hao wasanii wanadai Eti kuna watu 10milioni katika tasnia yao eko wapi....?
 
Jk anaakili kuliko viongozi wa upinzani wote waliopo hapa tanzania.
 
You are quite right!
1.Alianzisha mchakato wa katiba kwa kustukiza bila hata kushirikisha wenzake!

2. Alitoa ahadi nyingi zisizotekelezeka wakati wa kampeni bila kukihusisha chama chake!

3.Amekua akizusha safari za nje bila kuzingatia bajeti!

.....

Hakika huyu JK ni full matatizo na full hasara!

Ongezea na Operation Vua Gamba (OVG) na matokeo yake ndani ya chama lao la kijani na manjano!
Siku yaja pale 'Jeshi Wakati' litakapoamua kuikomboa Nchi...by Godbless Lema.
 
Alisema huwezi kula bila kuliwa hapo hajulikani alikuwa na mana ipi? Kwa kauli zako kazi ipo hadi awamu yake iishe. Pana ugumu kidogo hv awezaje kukutana na wenye mapepo! Au pana edit ya kauli wakati aongeapo?
 
Hivi Mh Rais wetu Kikwete anakua anapoteza kumbukumbu haraka au ni mimi ndio sio simuelewi vema Mh Rais??
Sí majuzi kati tu yeye mwenyewe amesema anaridhishwa na jinsi mchakato unavyoendelea na akatoa baraka kwa Bunge la katiba kuendelea na mchakato ??

Jamani labda mi nazeeka kushindwa kuelewa mambo vema, Hivi si huyu huyu alisema tujiandae kisaikolojia kuwa serikali tatu badae akaja akasema serikali tatu zitasababisha jeshi kuchukua nchi???

Mh Rais labda anazungumzia vitu tofauti tofauti ambavyo mimi navichanganya??? Jamani nisaidie ndugu yenu nimwelewe rais wangu JK (Sio JK Nyerere yeye namwelewa vema tu)

...mkuu tunaandaa ajabu la nane la dunia,na pia tunapeleka andiko kwenye guiness book of records,so stay tuned....
 
...anachanganyaga na zake kweli ? au akichanganya anapata mauzauza...

Sijawahi kuona au kusikia anatumia zake! Kama ulivyoandika hapo juu tunatengeneza maajabu ya 8 ya dunia na kuandika record mpya katika Guinness book of records!
 
Jk anaakili kuliko viongozi wa upinzani wote waliopo hapa tanzania.

Daah hii mpya kwa kweli. Njaa mbaya sana, mtu unakuwa hautumii kabisa akiri yako kufikiria.
JK huyuhuyu ndo anaakili??? Labda unamaana nyingine mkuu.
 
amezoa kukurupuka kama kafumaniwa kwny maamuzi watanzania wamebadilika sasa mpyuuuuuuuuu
 
Wacheni upuuzi vilaza wakubwa mnataka nini?Juice au ?
 
Vision ya Nyerere ya kuona kuwa kikwete hafai kuwa Raisi ime thibiti kuwa kweli.
Hana ujasiri ngo.
Ataweka legacy ya katiba kufeli kwa maamuzi yake mabovu.
Katiba haiundwi na wenye maslahi ya kisiasa za vyama,wao hutowa maoni tu.Serikali za Znz ile ya T,bara ndio wenye muungano kwa niaba ya watu wao,wengeliulizwa
 
Hata Baba nyumbani ukiwa mtu wa mzaa mzaa, jiandae hata house girl kukutania....Usiku mwema
 
Back
Top Bottom