ndio wanatengeneza idadi ya 10m....teh teh tehteh teh teh
wakina Mkude Simbaa
Hao wasanii wasitufanye wote ni comedians!
Akihutubia viongozi wa mkoa wa Morogoro leo, JK amesema katiba mpya haitapatikana endapo viongozi wa kisiasa wataendelea kuvutana!
Aidha amesema yuko tayari kukutana na viongozi wote wa kisiasa ili kutafuta muafaka!
Source: Radio One Stereo.
- Kumbe source ni Radio One ambayo hata Maulidi Kitenge ameikimbia duh!!
Le Mutuz
Minilifikiri jitu likiwa na mwili kama wako busara inatawala kumbe kichwani umefugia nywele tu. Hahahaha
Angalau inatambulika kimataifa na imekwishapata tuzo nyingi! Sasa hiyo radio uhuru ambayo hata wakazi wa Mvumi wanaiponda inaweza kuwa source ya habari kweli!- Kumbe source ni Radio One ambayo hata Maulidi Kitenge ameikimbia duh!!
Le Mutuz
JK hakusema kuwa Serikali 3 zitasababisha Jeshi kuchukua nchi, UKAWA mbona mnaweweseka hivyo?