Kikwete akiri katiba mpya haitapatikana!

Kikwete akiri katiba mpya haitapatikana!

Akihutubia viongozi wa mkoa wa Morogoro leo, JK amesema katiba mpya haitapatikana endapo viongozi wa kisiasa wataendelea kuvutana!

Aidha amesema yuko tayari kukutana na viongozi wote wa kisiasa ili kutafuta muafaka!

Source: Radio One Stereo.
hahahah rais wangu mpendwa wewe ndo kiongozi wangu mimi nashindwa kukuelewa leo unasema hivi kesho hivi kwsho kutwa hiv... khaaaaa sasa kama kiongoz wangu unanichanganya tafadhar
 
hahahah rais wangu mpendwa wewe ndo kiongozi wangu mimi nashindwa kukuelewa leo unasema hivi kesho hivi kwsho kutwa hiv... khaaaaa sasa kama kiongoz wangu unanichanganya tafadhar

Rais wako ni ndumilakuwili!
 
nimeshindwa.jpg

Sina la kuongezea!
​
 
JK amepoteza uhalali wa kuwa na dhamira njema kwa taifa kupata katiba mpya na bora, na bahati mbaya ni raisi asie weza kuwa na mamlaka ya kuwadhibiti watu wa chama chake japo katiba ya nchi ya sasa pamoja na ubovu wake ina mpa mamlaka makubwa ya kiungozi.
 
Bendera yetu ilikosa rangi nyekundu baada ya uhuru hivyo tusubiri kuona rangi asilia.
 
JK amepoteza uhalali wa kuwa na dhamira njema kwa taifa kupata katiba mpya na bora, na bahati mbaya ni raisi asie weza kuwa na mamlaka ya kuwadhibiti watu wa chama chake japo katiba ya nchi ya sasa pamoja na ubovu wake ina mpa mamlaka makubwa ya kiungozi.

JK hajui kabisa ukubwa wa mamlaka yake, kitu kinachosababisha kuifanya taasisi ya Urais wa nchi hii kuwa nyepesi kiasi kwamba kila mtu anadhani anaweza kuwa rais!

Tusije tukashangaa kuwa na wagombea urais zaidi ya 100!

Tujiandae kuweka record katika Guinness book of records!
 
Ngumu sana kumuamini huyu bwana!!!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kwenye matamko rasmi Kikwete haongei yake ila aliyoandikiwa. Na akishamaliza kusoma anasahau anaendelea kuongea yake...

By the way... inawezekana hata huku jf yupo kwa fake id na anapinga huo mchakato vibaya...
 
Akihutubia viongozi wa mkoa wa Morogoro leo, JK amesema katiba mpya haitapatikana endapo viongozi wa kisiasa wataendelea kuvutana!

Aidha amesema yuko tayari kukutana na viongozi wote wa kisiasa ili kutafuta muafaka!

Source: Radio One Stereo.

Ndo maana watu wameona urais ni issue ndogo sana basi kila mtu anaweza
 
Sasa Kwanini hilo bunge linaendelea ikiwa haitapatikana hiyo katiba...?
 
Hivi Mh Rais wetu Kikwete anakua anapoteza kumbukumbu haraka au ni mimi ndio sio simuelewi vema Mh Rais??
Sí majuzi kati tu yeye mwenyewe amesema anaridhishwa na jinsi mchakato unavyoendelea na akatoa baraka kwa Bunge la katiba kuendelea na mchakato ??

Jamani labda mi nazeeka kushindwa kuelewa mambo vema, Hivi si huyu huyu alisema tujiandae kisaikolojia kuwa serikali tatu badae akaja akasema serikali tatu zitasababisha jeshi kuchukua nchi???

Mh Rais labda anazungumzia vitu tofauti tofauti ambavyo mimi navichanganya??? Jamani nisaidie ndugu yenu nimwelewe rais wangu JK (Sio JK Nyerere yeye namwelewa vema tu)
JK hakusema kuwa Serikali 3 zitasababisha Jeshi kuchukua nchi, UKAWA mbona mnaweweseka hivyo?
 
Tusimlaumu jk,hko alichokiongea ndo kilichopo moyoni,zile hotuba hua sio zake ni za akina wasira ye kaz yake ni kusoma bila hata kujua content iliyopo.mara nyng jk kwenye mikutano ya hadhara anaongeaga mambo mazuri kama rais kosa wasira ndo anamuaribu jk
 
Wanasema msimwamini mwanasiasa... Wakasema pia usimwamin jakaya kkwete.. Mr wind
 
huyu rais kale kaugonjwa ka kuanguka nadhani kanataka kumrudia, siamini kama anaweza kuwa anapoteza kumbukumbu nmana hii.
 
Back
Top Bottom