no!wame acknowledge kuwa yuko marekani!ila the exact location haiwezi kutolewa kwa ajili ya usalama wake!mushi,
tuachane na siasa za common sense na twende na facts. Common sense inatutuma kuamini kuwa ubalozi wa marekani unafanya kila liwalo kumrudisha ballali ila tu wanasubiri maombi ya jk. Sasa nikuulize, mbona walikimbilia kusema kuwa wamemfutia ballali visa huku wakijua hiyo ni technicality ya kudanganya toto? Kitu alichofanyiwa ni kuwa kwa kupotedha wadhifa wake, ballali amepoteza diplomatic passport na privilege zote including going in and out of the us as a urt official. That's it.
Lakini, ubalozi huohuo haukusema kuwa ballali ana hadhi ya ukaazi wa kudumu (permanent residency) hivyo kupoteza kwake diplomatic passport, haimzuii kuingia na kutoka (au kuishi marekani). Au hata kama hakuwa nayo hiyo permanent residency, bado angeweza kuomba visa (kama mtu binafsi)na kuna nafasi kuwa angeipata (kwani hajashtakiwa rasmi na serikali). Hivyo basi, tuwe makini katika kushabikia mambo ili tusije tukaonekana kuwa kwa vile mzungu amesema jambo fulani, basi yeye ndio sahihi. As far as i am concerned, ubalozi wa marekani nao unacheza siasa (kwa namna kama ya serikali yetu na wala wasitake kutupia lawama serikali ya jk pekee. Kwa nini balozi green alipoulizwa mahali alipo ballali akayeyusha kwa kusema kuwa sheria za marekani hazimruhusu kusema nyendo za watu walioko nchini mwao? Wamarekani na law enforcement agencies zao kweli hawajui ballali alipo?
what? Common sense ni kumleta balali baada ya uchunguzi?brother mushi taratibu mangi:kwanza msee wangu inabidi hilo swali lako nililolinukuu hapo juu inabidi ujiulize wewe mwenyewe. Wewe ndiye inabidi uzingatie what you are calling "siasa za common sense" and if that is the case then naamini kabisa utafika wakati wa kuwaomba wamerekani wamrudishe balali. Sasa kama kwako "common sense" ni kumleta sasa hivi, wakati criminal investigations into the matters is going on,then sawa.
kwa mfano ndugu yangu ikiwa kibaka kakukwapulia simu yako na aka kamatwa je ni "commonn sense" gani utaitumia; kumchakaza na kumchoma moto au "common sense" ya kumpeleka kituoni ambako possibility ya kuachiwa kwa sababu nyingi tu.
nilalosema ni kuwa ingawa mamilioni yamechotwa na wengi wetu pamoja na ndugu zetu tunasota, huku mafisadi wakitanua, ukweli ni kwamba sheria huwa siku zote inampendelea mkosaji hasa akiwa na uwezo. That is a reality of life and therefore ku-reverse that immediately lazima "common sense" unayoizungumzia tuitupilie mbali and replace it with anarchy/mob justice. In that case so long as audit report imeshasema kuwa kuna watu waliochota mabilioni, the wakusanywe, hata mahakamani kuwapeleka ni kupoteza muda, kwa vile wanaweza wakahonga, tuwafilsi mali zao zote na kuwafunga miaka 30 kazi nguumu na viboko 12 juu. Hiyo ndiyo "komoni sensi"?.
Where the hell u got this mandate of total ban? for ur inf Im here to stay and ur dealing with the beast u dont know!
Where the hell u got this mandate of total ban? for ur inf Im here to stay and ur dealing with the beast u dont know!
1.
anajikomba kwa nani? Mushi had all the right kusema rais amekataa kwa sababu balozi wa US hawezi kusema publicly kuwa rais wenu hataki, kwenye diplomatic language haikubaliki hiyo, Clinton, amesema Obama kushinda South Carolina, ni sawa na Jesse Jackson, alivyoshinda kwenye miaka ya 1884, na 1988, lakini akaishia kutopata nomination, lugha hii kisiasa dunia nzima imeamuliwa kuwa huyu ni racist na anajaribu kutumia race card, je is that exactly what he Clinton said? Je ingekuwa hapa JF Mushi ameamua kuwa hivyo dunia ilivyoamua ndivyo Clinton alivyosema, which is his right ingekuwaje?[/SIZE]
[/SIZE]
Waungwana;Uchunguzi wa Akaunti ya EPA
Ndugu Wananchi;
Jambo la tatu ambalo nimepanga kuliongelea leo ni hili suala la ukaguzi wa Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje na hatua zinazoendelea kuchukuliwa baada ya taarifa ya ukaguzi kutolewa.
Ndugu Watanzania wenzangu;
Kwa mara nyingine tena nawapongeza na kuwashukuru wakaguzi wa Kampuni ya Ernst and Young kwa kazi nzuri waliyoifanya na kutoa taarifa ya kina kuhusu matatizo yahusuyo matumizi ya fedha za Akaunti hiyo. Nawashukuru pia Watanzania wenzangu kwa kuunga mkono hatua tulizochukua na tunazoendelea kuchukua kuhusu suala la Benki Kuu. Hata hivyo, nasikitishwa na taarifa ninazozipata kuhusu kuwepo uvumi mwingi unaoenezwa na baadhi yetu kuhusu suala hili. Baadhi ya uvumi huo umekuwa unapotosha ukweli na kuwachanganya wananchi. Napenda kutumia nafasi hii kuwaomba wanaoeneza uvumi na uongo kuacha kufanya hivyo. Aidha, nawasihi wananchi wawe watulivu na wavumilivu.
Napenda kuwahakikishia kuwa, Serikali inayo dhamira ya dhati ya kulifuatilia suala hili mpaka mwisho wake ujulikane. Mwisho ambao utakuwa na maslahi kwa taifa letu. Pamoja na yote yatakayofanywa, tunataka kuhakikisha kuwa fedha zilizolipwa kinyume cha utaratibu zinarudishwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wenzake, yaani Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU wameanza kuchukua hatua. Nimewataka watoe taarifa kwa wananchi mara kwa mara kadri inavyowezekana pamoja na haja ya kuwa waangalifu kutokutoa mengi yahusuyo uchunguzi wanaoufanya ili ushahidi usiharibike.
Nawaomba Watanzania wenzangu tuwe na subira. Naamini kazi hii itakamilika ndani ya kipindi cha miezi sita tuliyowapa. Napenda kurudia ombi la Serikali kwa wananchi wenye taarifa zitakazosaidia katika uchunguzi na hatua katika suala hili waisaidie kamati yetu
WHAT?COMMON SENSE NI KUMLETA BALALI BAADA YA UCHUNGUZI?INA MAANA AMESHACHUNGUZWA NA KUHOJIWA?NA KAMA TAYARI..WHEN DIDI IT HAPPEN?COMMON SENSE YAKO UNAYOIZUNGUMZIA NI SAWA TU NA ILE NINAYOIZUNGUMZIA..TOFAUTI YETU NI KUWA WEWE HAUAMINI KUWA BALALI ANAHITAJIKA KUHOJIWA KABLA HIYO RIPOTI HAIJATOLEWA!MIMI NAAMINI KUWA NI LAZIMA BALALI AHOJIWE,NI LAZIMA MEGHJI AHOJIWE..MRAMBA,MGONJA..NA WOTE WALIOWITHDRAW HIZO PESA KUANZIA HATUA YA AWALI ZILIPOKUWA HUKO KWENYE AKAUNTI YA MADENI YA NJE!
Suala la wewe kusema kuwa Kikwete hajafanya kosa pale anapokataa kumleta Balali ndio mahali tunapopingana!Mangi Mushi samahani; sikuelewi unaposema "tunachozungumzia ni sawa ila tofati yetu ni kuwa mimi siamini kuwa Balali anahitajika kuhojiwa .... Where do you get that from? au ni inference yako, of course kama ni interpretation yako, rukhsa. Lakini to make the record straight mimi ni mmmoja ya wale ambao nimekuwa naeleza wazi kuwa hiyo listi ya mafisadi iwe accountable kwa wizi na hata uzembe wao.
Ninacho sisitiza ni kuwa DO NOT expect any politician (especially the corrupt ones) to act sensibly and use common sense ama sivyo hatakuwa mwana siasa. So it is a waste of time to even try to make them see that, kwa vile they deliberately ignore common sense.
Suala la wewe kusema kuwa Kikwete hajafanya kosa pale anapokataa kumleta Balali ndio mahali tunapopingana!
nguvu ya umma itatumika!hakuna cha kutokubaliana kimawazo blah blah!kwako kutomleta balali wakati huu ni kosa - unayo haki ya kuliona hivyo and i respect it, kwa jk ni "utendaji makini" - do i agree with it no, do i respect his opinion yes, kwangu mimi - sitegemei lolote toka kwa mwizi kumkamata mwenziwe! Hawezi kumleta leo wala hatamleta kamwe!
let us move on mangi, kutokubaliana kimawazo na kuelewana wakati huo huo ni maturity.
BALALI SIO KWAMBA TU NI MTUHUMIWA!BALI NI MTUHUMIWA WA KWANZA!Huku kwa JF naona kuna longo longo kibao. Kwanza mwambieni huyu balozi aache kiherehere. Anajikomba kwa nani? Mara tumemfutia visa, mara tutarudisha fedha alizoiba, mara hatujaombwa tumrudishe, longo longo za nini? Serikali inachunguza, uchunguzi haujakamilika. Balali kaachishwa kazi kupisha uchunguzi. Nani kasema kuwa Balali ni mtuhumiwa?
ha aahaha ahaha ...vitisho vya mgambo hivyo akiwa anafukuzana na wauza gongo,havifanyi kazi hapa baba au na wewe ni usalama wa taifa... kwi kwi kwi kwi!
Wasiwasi wako ndio maradhi yako...
....huna hoja wewe na umeishiwa umebaki kujikomba kwa mafisadi tuu,shauri yako!
ufisadi unaendana na ubinafsi!poa, muradi mkono unaenda kinywani!