ujumbe murua kwa mkwererais kuongea maneno ya namna hii ni mpumbafu na ujinga wa hali ya juu...asifanye watu watoto hapa na majibu yake ya hovyohovyo...kwanza nani kamuuliza mpaka anaanza kufafanua ...stupid
In short Ikulu ya Tanzania hamna rais bali mtu mjinga.
raisi ameongea vizuri lakini .............na pili intelejinsia ya machafuko arusha angefafanua who was behind it bcs amesema alipewa ripot before it happen!!!!!!!
In short Ikulu ya Tanzania hamna rais bali mtu mjinga.
Wananchi ndio wenye nchi.Kweli mpaka sasa sijui hatma ya nchi yetu inaelekea wapi maana kila mtu anaongelea Dowans hakuna mtu anaongea ukweli kuhusu hilo.
Hivi Ujinga ni tusi au ni definition ya mtu anayefanya mambo yasiyo na busara..?Acha matusi, matusi hayajengi. Weka hoja
Ameona hadhi yake inashahuka kila uchwao na moja ya chanzo ni Dowans. Ok amejitahidi kujisafisha sasa sijui kama wananchi watamuelewa husussni njia aliyotumia ya kuongea kupitia sherehe za chama chake.