Tunabanana hapa hapa Yeye ndiyo atatoka atuachie nchi yetu.Hanan hadhi ya kuwa Rais aliwahadaa watanzania
Mwenzetu uko hapa kwa interest ya nani?? If I may ask Bro'........................???
Ukiangalia sana aliyoyasema hayaendani na yale aliyoyaeleza Chiligati baada ya kikao, Chiligati alisema wazi kuwa CC imeona kuwa ... ICC imeshamua na Uungwana ni kulipa ....ila kwa kuwa kuna baadhi ya watanzania wenzetu wamefungua kesi mahakamani kupinga malipo haya serikali itasubiri kulipa mpaka pale kesi hiyo itakapotolewa uamuzi...." . Version ya JK ni kuwa ... ila baada ya malalamiko mengi ameemua serikali isiipe fedha Tanesco ili kuona jinsi ya kuweza kuepa au kupunguza malipo hayo! ....., hizi statement Hazina maana sawa kabisa zaidi ya kuwalisha KASA wananchi.Amekiri kuwa Richmond ni kampuni hewa na ndiyo maana alimtahadharisha Msabaha kuhusu kuwalipa Richmond down payment, ameonekana kuutambua mkataba wa Dowans kwa kusema tumetumia umeme wa Dowans miezi tisa na kuutambua ushindi wa Dowans dhidi ya Tanesco ila baada ya malalamiko mengi ameemua serikali isiipe fedha Tanesco ili kuona jinsi ya kuweza kuepa au kupunguza malipo hayo!
Ukiangalia sana aliyoyasema hayaendani na yale aliyoyaeleza Chiligati baada ya kikao, Chiligati alisema wazi kuwa CC imeona kuwa ... ICC imeshamua na Uungwana ni kulipa ....ila kwa kuwa kuna baadhi ya watanzania wenzetu wamefungua kesi mahakamani kupinga malipo haya serikali itasubiri kulipa mpaka pale kesi hiyo itakapotolewa uamuzi...." . Version ya JK ni kuwa ... ila baada ya malalamiko mengi ameemua serikali isiipe fedha Tanesco ili kuona jinsi ya kuweza kuepa au kupunguza malipo hayo! ....., hizi statement Hazina maana sawa kabisa zaidi ya kuwalisha KASA wananchi.
Kikwete anahusika!!! Kusimama jukwaani na kusema huhusiki haimaniishi kuwa ni kweli hahusiki, HAYO ni maneno tu
Pendekezo langu katika katiba mpya itakayo andikwa kuwe na kifungu ambacho kitamuwajibisha kiongozi yoyote atakaye wadanganya wananchi wake hadharani.
watu wanaipiga sana hii nchi basi tuDuh.... Tanzania ni zaidi ya tuyasikiayo
Hapa ndipo nashindwa kumuelewa JK. Anatuambia kua hawajui wahusika au wamiliki halali wa Richmond/Dowans na angewajua angewachukulia Sheria. Sasa Mbona jana katuambia tena anawajua na hua wanazunguka na Lissu?Sina ajizi wala kigugumizi cha kuchukua hatua pale panapokuwa na kosa hata kama atakuwa ni rafiki au ndugu yangu,alisema (JMK).
Sijajua kama angekuwa mtoto wake ama watoto wake angefanyaje ?