Kikwete afanye ziara ya kujitambulisha tena USA?


... Lakini ninaamini leo hii ukimuita Kikwete kwenye "Meet the Press" ukamuuliza kuhusu kauli yake hiyo kama (I need to be careful here maana Kuhani atatokea na kuuliza KAULI GANI?) anaweza kutoa jibu jingine tofauti kabisa.

Ungejua "you need to be careful" usinge comment kwenye li-tetesi halina kichwa wala miguu. "Kuhusu kauli yake hiyo," kauli gani? Yani unaongelea li hypothetical tu liko hewani hewani!
 
Kama kuna mwenye kumbukumbu naomba atujulishe mwaka jana VDG kafanya safari ngapi US. He could go down in history as the first Head of State to make so many trips there in a span of twelve months. I hope his name enters the Guinness Book of Records - is this a plus or a minus ? - sadly I just dont have an answer to that !!
 
Capitol Hill,
You shoulda known man, before you invoke Kuhani's name. He's gonna get back at you.
Kwi!kwi!kwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…