Kikwete afanye ziara ya kujitambulisha tena USA?

Du Tuna mshambulia bure Vasco da Gama, kumbukumbu zangu zinaniambia kuna kikao cha UN soon or later this month na kitahudhuriwa na wakuu wa nchi Including ahdmedjan (spelling sijui) wa Iran, kama mtakumbuka kuna republican mmoja ametaka UN isimwalike.

So kama anaenda US sio kwa ajjili ya kujitambulisha ingawa tungefurahi kutumia muda huo kujitambulisha ili asijetumia hela zetu walipa kodi kwenda kujitambulisha.

Ni hayo ni

Kicha wa koro
 
Nakubaliana na Maneno yako Susuviri,lakini ni lazima uelewe kuwa Mahusiano ya Nchi na Nchi yanapishana,na pia ukubwa wa Delegation unapishana,Huwezi kulinganisha Ugeni wa Medvedev kuja Washington na ule Wa Kagame pamoja na kwamba wote ni Marais.Tunaweza kuwa Midebwedo lakini pia Tanzania bado ni kiungo Muhimu kati ya US na mataifa mengi ya Afrika.

Hivi sasa Obama ameelekeza Nguvu nyingi katika matatizo ya ndani ya Kiuchumi ya US na masuala ya Middle East na Afghanstan,lakini sio kusema kuwa hapokei wageni,atampokea Waziri Mkuu wa Australia punde atakapotoka Canada kwenye ziara yake ya kwanza Nje.

Na hili suala la kukutana na Watu wa State Department badala ya Rais tusilichukulie kama ni dharau!!Ni kweli kwamba Rais atakwenda US kwenye tarehe itakayopangwa baadaye,pamoja na kuonana na Obama atakutana na wafanyabiashara wamarekani weusi na kutembelea California.

Mwawado, nadhani Bubu amekwisha kujibu kwa kirefu na kwa ufasaha. mi sijasema kuwa Obama hatampokea kamwe JK,lakini kama ataondoka sasahivi kwa kisingizio cha kuonana na Obama, anatuzuga tu. that is my point in a nutshell!
 
Hebu acha hizo bana na wewe...aaah...hivi nani (Democrats na Republican) Marekani ana muda wa ku mind alichokisema raisi wa ka nchi ka dunia ya tatu kuhusu raisi Bush. Puh-lease....

Eti Kikwete alisema hivi au vile kuhusu raisi Bush....sana sana tunaokumbuka ni sisi Wabongo tulioko huku, tena wale tunaofuatilia ziara zake akija huku....

Wamarekani don't give shit about Kikwete or what Kikwete said....

We umeanza tena! Lakini nimekupa tano for your last sentence: Wamarekani don't give shit about Kikwete or what Kikwete said

Lakini wakihitaji reference basi the last time on record, Jk was busy anamfagilia Bush, umeelewa my dear friend? So forget it, Obama ana personal connection na Raila na ndo atakuwa wa kwanza kumpokea, na si unajua wajaluo walivyokuwa na mshikamano! Kwikwikwiii!
 
They won't hold that against him. Wewe ulitaka amuue Bush? Huko si kungekuwa kuingilia siasa za ndani za Marekani? Ulitaka Kikwete aseme nini? Kwamba Bush is the worst president ever?
 
.......Hivi kwanini hizi ziara zingine hamuachii Dr. Shein?

.......Nyani hiyo avatar yako inanikumbusha sana documentary moja ya wale jamaa zangu wa Papua New Guinea........lol
 
hiyo ni close up yangu...thats how i look....scary?
 
They won't hold that against him. Wewe ulitaka amuue Bush? Huko si kungekuwa kuingilia siasa za ndani za Marekani? Ulitaka Kikwete aseme nini? Kwamba Bush is the worst president ever?

well, kusema katika kipindi cha kampeni katika nchi yao kuwa Bush is the best president (when he polled one of the lowest in history) ni kuingilia siasa zao za ndani! Acha kumtetea BUsh na wewe, huoni Babu yako McCain alivyoku-disappoint, na huyu Bush ndo kabisaaaaa! Lakini JK alichemka na wakati ule alikuwa AU president so it was reported by many agencies nakumbuka. So sorry, record yake haifutiki....
 
oh here we go again....

and you are right...rekodi ya Bush kwenye kusaidia Afrika haifutiki...na mpaka sasa hakuna raisi yeyote wa Marekani anayemfikia Busha ikija katika kusaidia Afrika....unabisha?
 
Tatizo, my friend, unapenda ligi na mi leo ligi siwezi. Haya basi umeshinda, eeeh!
Lakini kusema Bush was the best president in the history of the US is ridiculous! Na pundits wote walishangaa, na ingawa walikubali hiyo ya kusaidia Africa lakini kusema ndo maana ni the best is very short sighted.
 
Susu na Nyani

naamini wote mna walau girl Friends kama sio wake, Kuna wakati mnawaambia wake ama GF you are the most beautiful/gorgeous, sweetest ..... in this world
wakati unafahamu fika kuna wengine wanamzidi. Kwa nini mnafanya hivyo.

Simple reason ni kumuimpress na kumfanya ajisikie mko karibu

same story in Politics and diplomacy.
 
Duh!!! VDG!!! hatulii ofisini kwake ili kutatua matatizo mbali mbali yanayoikabili nchi yetu likiwemo la kusaini mikataba ya kuchimba dhahabu isiyo na maslahi kwa Watanzania na huu ni mwaka wa nne sasa!!...:) Obama yuko busy kushughulikia matatizo ya kiuchumi yanayoikabili US hataki wageni wanaokuja na vibakuli labda mpaka 2011!!!!

Hayo yanayo chimba zahabu sasa tulikuwa tunayasifia kuwa yanaongeza ajira kwa watanzania sijui hapo tuliwabana...sasa wamepata sababu...sekeseke la kupunguza limeanza kwa baadhi ya sehemu...achili mbali mwaka jana mwishoni....wanaofanya uko wanajua hali halisi...huyu mkulu akae tu hapa aangalie vijana wanavyo kwenda mtaani..na afiri kuongeza ajira tena mwezi wa sita...kwani watakuwa wengi sana....
 
Susu na Nyani

naamini wote mna walau girl Friends kama sio wake, Kuna wakati mnawaambia wake ama GF you are the most beautiful/gorgeous, sweetest ..... in this world
wakati unafahamu fika kuna wengine wanamzidi. Kwa nini mnafanya hivyo.

Simple reason ni kumuimpress na kumfanya ajisikie mko karibu

same story in Politics and diplomacy.

Hitimisho kuwa ni unafiki?na mke au mchumba....anakubali kuishi kinafiki na anafurahi!!!Hapo ndipo naishiwa kabisa
 
Tatizo, my friend, unapenda ligi na mi leo ligi siwezi. Haya basi umeshinda, eeeh!
Lakini kusema Bush was the best president in the history of the US is ridiculous! Na pundits wote walishangaa, na ingawa walikubali hiyo ya kusaidia Africa lakini kusema ndo maana ni the best is very short sighted.

Nani alisema "Bush was the best president in the history of the US"?

Kama unadai Kikwete alisema hivyo weka source yako hapa la sivyo utakuwa umezusha!
 
Wakuu wangu Nyani na Susu..nafikiri tusisahau kwamba maraisi wote ni wana siasa. Wengi almost wote wana hulka ya kusema kitu ambacho ni appropriate kwa muda huo na situation hiyo. Sioni ubaya wowote wa Mheshimiwa Kikwete kumsifia Raisi Bush haswa ukizingatia misaada ya fedha Tanzania iliyopata kwa ajili ya malaria na AIDS. Lakini ninaamini leo hii ukimuita Kikwete kwenye "Meet the Press" ukamuuliza kuhusu kauli yake hiyo kama (I need to be careful here maana Kuhani atatokea na kuuliza KAULI GANI?) anaweza kutoa jibu jingine tofauti kabisa.
 
Afadhali useme wewe maana nikisema mimi Susu hasikilizi kitu...Lol

Mwenzio bado yuko kwenye campaign mode...
 
Back
Top Bottom