Kikwete afanye ziara ya kujitambulisha tena USA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete afanye ziara ya kujitambulisha tena USA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JokaKuu, Feb 10, 2009.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Feb 10, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,794
  Likes Received: 5,058
  Trophy Points: 280
  ..jamani kama mnakumbuka mara alipochaguliwa Raisi alifanya ziara ya kujitambulisha USA, na mataifa mengine.

  ..Guess what?? with the new administration in Washington, inabidi Raisi Kikwete afanye ziara nyingine tena ya kujitambulisha. ziara hiyo pia itahusisha mataifa mengine ambayo yana utawala mpya.
   
  Last edited by a moderator: Feb 11, 2009
 2. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  JokaKuu, huyu rais wetu akae mbali kabisaaa na Jaluo Jeuri! Maana alienda kipindi cha kampeni ya uchaguzi wa Marekani na alimsifia Bush as best president for Africa in history of US! Democrats hawajasahau hilo! Mwache akajipumzishe tu huko, hakuna lolote. Unafikiri Raila atamruhusu JK apate audience na Obama kabla yake as President of US? Labda ataonana na Susan Rice, hahaha! Hata Hillary atakuwa too busy kumwona. Anatuaibisha tu! Badala ya kukaa nyumbani kutatua matatizo yetu, anataka kuuza sura!
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,733
  Trophy Points: 280
  Duh!!! VDG!!! hatulii ofisini kwake ili kutatua matatizo mbali mbali yanayoikabili nchi yetu likiwemo la kusaini mikataba ya kuchimba dhahabu isiyo na maslahi kwa Watanzania na huu ni mwaka wa nne sasa!!...:) Obama yuko busy kushughulikia matatizo ya kiuchumi yanayoikabili US hataki wageni wanaokuja na vibakuli labda mpaka 2011!!!!
   
 4. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mbona hiyo ni Protokali ya kawaida Mkuu...kumbuka ziara ya Odinga kuja Tanzania na hii ya Rupia Banda kuja kumuona Kikwete na kusalimia Watanzania,hayo mambo ni mambo ya kawaida tu,kwa Nchi unayoiheshimu na ambayo una uhusiano nao mzuri na katika nyanja nyingi.......Nafikiri utasema kwa nini Obama asiende kujitambulisha huko Nje....hiyo nayo ina maelezo yake marefu tu!!!!Wengi watakwenda kumsalimia Obama Washington.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,733
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu lakini it is too soon to visit Obama right now, especially if you take into consideration many problems he inherited from Kichaka.
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Wana JF tunatakiwa kuwa serious. Hakuna anayamini kuw ujinga huo unaweza kufanyika. Sidhani kama kna kitu kinachoitwa rais kwenda kusalimia au kujitambulisha US, mnamshusha sana rais wetu. Kama akienda kutembea sawa, lakini hayo y kusema anaenda kujitambulisha sidhani kama kweli. Tunajua kuwa chema kinjiuza na kibaya kinajitembeza, hatujafikia huko.
   
 7. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Naomba nikupe reference ukasome Economist uone ni jinsi gani leaders of EU wanavyochuniwa na Obama wakiwemo Sarkozy na Angela Merkel. Obama anaonekana hataki kupokea wageni sasa hivi. Unafikiri sisi wenye vidabadwa na vibakuli vyetu ndo atatupokea? Let's get real! Bubu is right, si kipindi cha kwenda kumsalimia Obama, mi nakwambia atapelekwa kwa Susan Rice, kwani mara ya kwanza alipojipeleka , Bush alimpokea? La hasha alionana na Condio Rice. ikabidi wapange safari nyingine tena akaonane na Bush.
   
 8. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tupe chanzo 'kikwete kufanya ziara ya kujitambulisha USA'
  vinginevyo ni udaku tu na upelekwe panapohusika
  jk mtoto wa mjini wewe tena tozi,hawezi kujipendekezapendekeza kirahisirahisi tu tena ukichukulia jamaa ana roots kwa watani wa jadi
   
 9. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ah wapi!! We have live proof alivyojipendekezapendekeza kirahisi! Hebu nenda kwenye archives za JF usome safari za Vasco Da Gama!
   
 10. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na Maneno yako Susuviri,lakini ni lazima uelewe kuwa Mahusiano ya Nchi na Nchi yanapishana,na pia ukubwa wa Delegation unapishana,Huwezi kulinganisha Ugeni wa Medvedev kuja Washington na ule Wa Kagame pamoja na kwamba wote ni Marais.Tunaweza kuwa Midebwedo lakini pia Tanzania bado ni kiungo Muhimu kati ya US na mataifa mengi ya Afrika.

  Hivi sasa Obama ameelekeza Nguvu nyingi katika matatizo ya ndani ya Kiuchumi ya US na masuala ya Middle East na Afghanstan,lakini sio kusema kuwa hapokei wageni,atampokea Waziri Mkuu wa Australia punde atakapotoka Canada kwenye ziara yake ya kwanza Nje.

  Na hili suala la kukutana na Watu wa State Department badala ya Rais tusilichukulie kama ni dharau!!Ni kweli kwamba Rais atakwenda US kwenye tarehe itakayopangwa baadaye,pamoja na kuonana na Obama atakutana na wafanyabiashara wamarekani weusi na kutembelea California.
   
 11. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Atakuwa rais wa kwanza kutoka Afrika kuonana na Prez wa kwanza mweusi wa Marekani... zaidi ya utambulisho ataingia kwenye rekodi kubwa ya dunia
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Feb 11, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hebu acha hizo bana na wewe...aaah...hivi nani (Democrats na Republican) Marekani ana muda wa ku mind alichokisema raisi wa ka nchi ka dunia ya tatu kuhusu raisi Bush. Puh-lease....

  Eti Kikwete alisema hivi au vile kuhusu raisi Bush....sana sana tunaokumbuka ni sisi Wabongo tulioko huku, tena wale tunaofuatilia ziara zake akija huku....

  Wamarekani don't give shit about Kikwete or what Kikwete said....
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na wewe hebu nyamaza! Rekodi ya dunia my foot.
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Usimind sana, ni mambo ya kuhifadhi rekodi tu...!
   
 15. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama ni mambo ya protokali ya kujitambulisha basi Obama ndie anaepaswa kujitambulisha sio marais wengine kumfuata washington ili Obama ajitambulishe kwao itakuwa haina maana ya kujitambulisha sasa.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Feb 11, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Say that in English......
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,733
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mwawado, safari ya Canada na ziara ya Waziri Mkuu wa Australia zina umuhimu mkubwa kwa Obama katika kutimiza baadhi ya ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni. Anataka kumuomba Kiongozi wa Canada aongeze muda wa jeshi huko Afghanistan badala ya kwisha 2011 na pia kuwachukua baadhi ya wafungwa toka Guntamano. Na pia amemuomba PM wa Australia atembelee US ili kumuomba hayo hayo kwa sababu yeye sasa hivi ukitilia maanani ndiyo kwanza ameingia madarakani na hali ya uchumi wa US hawezi kusafiri masafa marefu. Ziara ya Canada ni masaa sita tu amekataa state dinner na nadhani muda hautamruhusu kuhutubia Bunge la Canada. Kwa hiyo ukiangalia ziara yake na ya Waziri MKuu zina malengo ya kutimiza ahadi zake za kwenye kampeni za kuifunga Guantamano na pia kuongeza ukubwa wa jeshi lililopo Afghanistan.

  Ndiyo maana nasema kwa sasa hana muda wa kukutana na viongozi ambao wanatembea na mabakuli na hawamsaidii lolote katika kutimiza ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni.
   
 18. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nimecheka sana bila kikomo. Mambo ya kuhifadhi rekodi, eh?
  kwi!kwi!kwi!
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Feb 11, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  mwambie aseme hivyo kwa kiingereza uone kama atathubutu...sana sana atakachosema ni "yes indeed"...yaani yeye kila kitu ni "yes indeed" "yes indeed"..hata pasipotakiwa....Kibs bana....
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,733
  Trophy Points: 280
  WASHINGTON - U.S. President Barack Obama's Feb. 19 visit to Canada will be an all-business affair that's short on pomp and circumstance because of the economic crisis gripping his country.

  Prime Minister Stephen Harper had hoped for a longer stay, but Obama is determined that his first foreign trip as president be a six-hour working visit, the sources said Thursday.

  That's because the president feels he'd have a hard time justifying being away from the U.S. and at the centre of parliamentary pageantry in the midst of a devastating recession that's wreaking havoc on the American economy.

  Gov. Gen. Michaelle Jean will greet Obama at the Ottawa airport and then he'll head to Parliament Hill for discussions with Harper.

  He'll meet with embassy officials and Liberal Leader Michael Ignatieff, in his capacity as head of the opposition, at the airport. He'll leave Ottawa at 4 p.m. after arriving at 10 a.m.

  A high-profile, glitzy visit would send the wrong message to Americans who are struggling to hold onto their jobs and their homes, the sources said, and therefore Obama wants the visit to be a quick, brass-tacks affair so he can return home as soon as possible.

  For that reason, the president also has no interest in making a speech or addressing Parliament, the sources said.

  He will, however, hold a news conference on Parliament Hill.

  Obama is scheduled to address Congress on Feb. 24, a week after his visit to Canada, in a speech that will have the trappings of a State of the Union address.

  He's expected to lay out his foreign policy agenda in that speech, which means saying too much in Canada a week earlier on the same subject might irk Congress.

  Nonetheless, one source said, it would be a "disservice" for Canadians to think, given the enormous challenges Obama is facing domestically and internationally, that the president is giving Canada short shrift and only coming to Ottawa because it's tradition.

  That he chose Canada speaks volumes about the Obama administration's recognition of the importance of the U.S.-Canada relationship, the source said.

  However, the one-day visit was also described as "a trip with training wheels" by one source. Many of those planning the visit for the president are in uncharted territory.

  While the logistics involved in planning a trip to Canada are less complicated than they would be for other countries, a lot of staff positions in the Obama administration have still not been filled and many of those advancing the visit are doing so for the first time.

  Some don't even have business cards printed up yet, the source added.

  Obama heads to Canada just three days after he hopes to sign into law a multibillion-dollar economic stimulus package aimed at pulling the U.S. from the brink of a depression.
   
Loading...